Sadio Mane Afikisha Goli 100

Sadio Mane jana alifikisha magoli 100 katika mechi ambayo liverpool ilikutana na Crystal Palace na kuibuka na ushindi wa 3-0 naikupeleka Liverpool kileleni kwenye msimamo wa ligi.

Mane aliyejiunga na Liverpool akitotea Southmpton  kwa ada ya usajiri wa £34 million na akipewa mkataba wa miaka mitano na kuwa mmoja wa wacheziji waliosajiriwa kwa gharama kubwa kutoka Afrika.

Sadio Mane
Sadio Mane

Mane anakuwa mchezaji wa 18 katika historia ya liverpool kufikisha magoli 100 katika michuano yote akiwa na miamba hiyo ya Anfield.

Saido Mane amefikisha magoli 100, katika michezo 224 huku akiwa na kumbukumbu ya kuifunga Crystal Palace magoli 10 kati ya magoli 100, Liverpool wameshinda michezo minne kati ya mitano waliocheza mpaka sasa.

Magoli ya Liverpool dhidi ya Crystal Palace yalifungwa na Sadio Mane,Mohamed Salah, Naby Keita.


MKWANJA NJE NJE NA DISCO FUNK

Unaanzaje siku yako na kuimaliza bila kupitia katika kasino bomba za meridianbettz, mchezo mashuhuri wa Disco Funk unaweza kukufanya uwe mshindi leo hii.!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.