Sadio Mane jana alifikisha magoli 100 katika mechi ambayo liverpool ilikutana na Crystal Palace na kuibuka na ushindi wa 3-0 naikupeleka Liverpool kileleni kwenye msimamo wa ligi.
Mane aliyejiunga na Liverpool akitotea Southmpton kwa ada ya usajiri wa £34 million na akipewa mkataba wa miaka mitano na kuwa mmoja wa wacheziji waliosajiriwa kwa gharama kubwa kutoka Afrika.

Mane anakuwa mchezaji wa 18 katika historia ya liverpool kufikisha magoli 100 katika michuano yote akiwa na miamba hiyo ya Anfield.
Saido Mane amefikisha magoli 100, katika michezo 224 huku akiwa na kumbukumbu ya kuifunga Crystal Palace magoli 10 kati ya magoli 100, Liverpool wameshinda michezo minne kati ya mitano waliocheza mpaka sasa.
Magoli ya Liverpool dhidi ya Crystal Palace yalifungwa na Sadio Mane,Mohamed Salah, Naby Keita.
Unaanzaje siku yako na kuimaliza bila kupitia katika kasino bomba za meridianbettz, mchezo mashuhuri wa Disco Funk unaweza kukufanya uwe mshindi leo hii.!


