Siku ya kama ya leo mwaka 2018 Wayne Rooney alicheza mchezo wake wa mwisho kunako timu ya taifa ya England aliyoucheza dhidi ya Marekani kwenye ushindi wa mabao matatu kwa sifuri

Mchezo huo wa mwisho kwa Rooney ulikuwa mchezo wake 120 kwenye taifa hilo akiliwakilisha kwénye michuano mbalimbali ya euro na kombe la dunia

Katika utumishi wake timu ya taifa ya England Wayne Rooney nje ya kucheza michezo 120
Pia anashikilia rekodi ya ufungaji bora wa muda wote akiwa na mabao 53
Sambamba na kuweka rekodi ya kufunga bao akiwa mchezaji mwenye umri mdógo zaidi katika historia ya taifa hilo (miaka 17 na siku 317).
Unasababu milioni za kucheza unavyotaka ukiwa na mabingwa meridianbet, lakini unasababu moja ya kushinda mamilioni katika kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo maridhawa wa Crazy Time unakupa sababu hizo kuwa mmoja wa washindi leo hii.


