Benjamin Mendy na Kesi za Ubakaji

Mlinzi wa Manchester City Benjamin Mendy amefungiliwa mashitaka ya ubakaji na  unyanyasaji wa kingono kwa mabinti wenye umri wa miaka 16 na idadi ya mashitaka imezidi kuongezeka na kufikia mashitaka sita 

Mendy amekuwa kizuizini tokea mwezi agosti alipokamatwa na rufaa zake kadhaa alizowasilisha kukataliwa na jaji, kwa sasa anamashitaka sita kwa makosa aliyoyafanya kati ya mwezi oktoba 2020 mpaka agosti 2021.

Benjamin Mendy

Mendy kwa sasa yupo rumande anasubilia kusomewa mashitaka yake kwenye mahakama ya Stockport mjini Liverpool siku ya jumatano huku hukumu ya kesi zake ikitarajiwa kutoka tarehe 24 jamuari 2022.

Benjamin Mendy alisajiriwa na klabu ya Manchester City mwaka 2017 akitokea Monaco kwa ada ya uhamisho £52million, lakini tokea ashutumiwe kwa makosa ya ubakaji klabu ya Manchester City imemsimamisha ili kupisha uchunguzi mpaka hapo atakapo kutwa hana hatia.


WIKI NJEMA NA CRAZY TIME CASINO!

Unasababu milioni za kucheza unavyotaka ukiwa na mabingwa meridianbet, lakini unasababu moja ya kushinda mamilioni katika kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo maridhawa wa Crazy Time unakupa sababu hizo kuwa mmoja wa washindi leo hii.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.