Dyabala Kurejea Juventus kwa Vipimo Zaidi

Mshambuliaji wa juventus Paulo Dybala atakosekana kwenye mchezo wa kufuzu kombe la Dunia dhidi ya Brazili kwa sababu ya matatizo ya misuli.

Dyabala alipata matatizo hayo ya msuli baada ya kugongana na mlinzi wa timu ya taifa ya Uruguay Joaquin Piquerez kwenye mguu wake wa kushoto kwenye mchezo wa kufuzu kombe la Dunia kati ya Uruguay na Argentina.

Dyabala

Paulo anatarajiwa kusafiri leo kurudi nchini Italia, ambapo kesho jioni atatua kwenye ardhi hiyo na kwenda moja kwa moja kufanyiwa vipimo, na kuangalia ukubwa wa jeraha ikiwa kama ataweza kujumuishwa kwenye mchezo unaofwata dhidi ya Lazio kwenye Serie A.

Pia klabu ya Juventus inatarajia kumpa mkataba mpya mshambuliaji huyo mwezi huu, na mpaka sasa Dyabala ameichezea Juventus michezo tisa kwenye msimu huu ndani ya Serie A.


WIKI NJEMA NA CRAZY TIME CASINO!

Unasababu milioni za kucheza unavyotaka ukiwa na mabingwa meridianbet, lakini unasababu moja ya kushinda mamilioni katika kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo maridhawa wa Crazy Time unakupa sababu hizo kuwa mmoja wa washindi leo hii.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.