Derby County Kunyang'anywa Pointi 9 Tena

Klabu ya Derby County inayoshiriki ligi ya Championship nchini Uingereza imenyang’anywa pointi tisa zingine baada ya awali kunyang’anywa point 12 na kufikia pointi 21 kwa jumla walizonyang’anywa msimu huu.

Waraka uliotolewa na klabu ya Derby ni kuwa wamekubali na hawana mpango wa kukataa rufaa dhidi ya pointi 12 zilizopunguzwa mwezi septemba wala hizi 9 za sasa.

Derby County

Wayne Rooney kwa sasa kichwa kinauma baada ya kukatwa jumla ya pointi 21, huku pia kukiwa na point 3 zingine za kukatwa ikiwa tu, watashindwa tena kuendana na sheria na kanuni zinazokubalika kwenye maamuzi ya klabu na ligi kwa ujumla kwenye maswala ya bajeti za fedha.

Derby County wanashika nafasi ya mwisho kwenye msimamo wa ligi ya Championship wakiwa bado wanadaiwa pointi 3 na ikiwa imebaki michezo 29 tu, ni muda wa sala na toba ili Rooney aweze kupindua meza asishuke daraja.


WIKI NJEMA NA CRAZY TIME CASINO!

Unasababu milioni za kucheza unavyotaka ukiwa na mabingwa meridianbet, lakini unasababu moja ya kushinda mamilioni katika kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo maridhawa wa Crazy Time unakupa sababu hizo kuwa mmoja wa washindi leo hii.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.