Mechi Kubwa EPL: Liverpool vs Arsenal

Wiki ya 12 kunako Premier League hii hapa moja ya mechi za kuvutia siku ya leo Jumamosi ni hii kati ya Liverpool dhidi ya  Arsenal mechi itapigwa katika dimba la Anfield.

Mechi Kubwa EPL: Liverpool vs Arsenal

Liverpool wapo mbele ya Washika mitutu wa London kwa tofauti ya alama 2 pekee hivyo Liver wenye alama 22 watalazimika kushinda mchezo huu ilikupunguza presha.

Wachezaji wa Liverpool Sadio Mane, Andrew Robertson na Jordan Henderson wote wanasumbuliwa na majeraha waliyopata wakati wa majukumu na timu za taifa.

Lakini Klopp amethibitisha kwamba Mane atacheza dhidi ya Arsenal vilevile Robertson anatarajia kuwa sehemu ya mchezo huo.

Divock Origi alipata jeraha la kichwa wakati akiwa na timu ya taifa ya Ubeligiji lakini anatarajia kukichafua dhidi ya vijana wa Arteta.

Kwa Upande wa Arsenal Thomas Partey atakuwa fit, Folarin Balogun pia anatarajia kuwa kwenye kikosi cha Gunners lakini Granit Xhaka na Sead Kolasinac watakosa mechi hii.

Arteta huenda akawatumia washambuliaji wake Alexandre  Lacazette na Pierre-Emerick Aubameyang wakati ni kama Pepe, Bernd Leno, Martin Odegaard na Gabriel Martinelli watakuwa katika benchi.

Kikosi cha Liverpool Kinachoweza Kuanza: Alisson; Alexander-Arnold, Matip, Van Dijk, Robertson; Oxlade-Chamberlain, Fabinho, Thiago; Salah, Jota, Mane

Kikosi cha Arsenal Kinachoweza Kuanza: Ramsdale; Tomiyasu, White, Gabriel, Tierney; Saka, Thomas, Lokonga, Smith Rowe; Lacazette; Aubameyang


WIKI NJEMA NA CRAZY TIME CASINO!

Unasababu milioni za kucheza unavyotaka ukiwa na mabingwa meridianbet, lakini unasababu moja ya kushinda mamilioni katika kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo maridhawa wa Crazy Time unakupa sababu hizo kuwa mmoja wa washindi leo hii.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.