FIFA: Lewandowski na Benzema Waingia Kwenye Tuzo

Majina ya wachezaji kumi na moja yaliotajwa na FIFA kugombania tuzo ya mchezaji bora wa kiume wa FIFA,  jana jumatatu Lewandowski, Benzema na Jorginho nao wameingia kugombania kinyang’anyiro cha mchezaji bora wa kiume.

Wahishindani mahasimu Lionel Messi na Cristiano Ronaldo na wapo pia wengine ambao wanashindania tuzo hiyo ni Neymar, Mohamed Salah, Kylian Mbappe, Erling Haaland, N’Golo Kante na Kevin De Bruyne ndio wanakamilisha listi ya washindani.

FIFA
FIFA

Upande wa wanawake timu ya Barcelona na Chelsea zimetawala baada ya kuingiza wachezaji wanne ambao ni Alexia Putellas, Jennifer Hermoso, Aitana Bonmati na Caroline Graham Hansen kwa Barcelona, na kwa Chelsea ni Sam Kerr, Ji So-Yun, Magdalena Eriksson and Pernille Harder na Lucy Bronze na Ellen White wanakamilisha listi.

Upande wa makocha kuna Hansi Flick, Pep Guardiola, Antonio Conte, Diego Simeone Lionel Scalon na Thomas Tuchel. Kura zitaanza kupigwa mwezi huu novemba hadi 22 desimba na washindi wanatarajiwa kutangazwa mwezi januari.

FIFA

Kura zitapigwa na makocha na makapteini wote wa timu za taifa na baadi ya waandishi wa habari za michezo na mashabiki kwa njia ya mtandao.


PANDISHA THAMANI YA DAU LAKO NA FAI CAI SHEN

Wiki nyingine ya kushinda mamilioni ukiwa na kasino maridhawa za meridianbettz. Mchezo pendwa wa Fai Cai Shen unakupa thamani ya dau lako, kwa kiasi kidogo cha dau unaweza kushinda mkwanja mrefu.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

 

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.