Son Heung-min Kuikosa Michezo Yote January

Mchezaji wa klabu ya Tottenham Son Heung-min anaweza kuikosa michezo yote ya mwezi January kutokana na majeruhi ya mguu kwenye mchezo wa Carabao Cup dhidi ya Chelsea.

Mshambuliaji huyo alifanya vipimo ilikuweza kuangalia tatizo la misuli baada ya kijisikia maumivu kidogo kwenye mchezo wa kwanzawa kombe la Carabao Cup nusu fainali Jumatano  dhidi ya Chelsea ambapo Tottenham walipoteza kwa 2-0.

Son Heung-min

Majeruhi hayo yatamuweka nje kwenye nchezo wa marudiano tena na Chelsea wiki ijayo na pia ataukosa mchezo wa derby ya kaskazini mwa London dhidi ya Arsenal.

Conte wakati akitoa taarifa kuhusu Son alisema, “anaweza kukaa bila ya kufanya mazoezi  kwa kipindi cha kati ya 24 January.”

Son Heung-min ndie mfungaji anayeongoza kwenye klabu ya Tottenham msimu huu akiwa na goli nane, alianza kwenye mchezo dhidi ya Chelsea kwenye kombe na alifanikiwa kucheza kwa dakika 79 kabla ya kutolewa.

Ikiwa Son Heung-min hatafanikiwa kurudi uwanjani mpaka mapumziko ya kimataifa kuisha basi atakosa michezo ya ligi kuu ya uingereza dhidi ya Arsenal, Leicester City na Chelsea.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.