Klabu ya Man City ya nchini Uingereza wapo kwenye mazungumzo na klabu ya River Plate kwa ajiri ya kumsajiri mshambuliaji Julian Alvarez
Julian Alvarez kwa sasa anamkataba na klabu ya river plate ya nchini Argentina ambapo mkataba wake unaisha mwaka 2022 December, klabu ya Man City imekuwa ikimfuatilia kwa kipindi kirefu, Julian Alvarez mwenye miaka 21 tayari amecheza michezo mitano kwa timu ya taifa ya Argentina.

Pia Julian Alvarez ameichezea klabu ya River Plate michezo 96 huku akiwa amefunga magoli 36. Alvarez anaweze kuruhusi kuondoka kwa pauni 16.75million lakini River Plate hawana mpango wakumuachia mpaka majira ya kiangazi.
Mwaka 2018 Álvarez alichaguliwa kwenye timu ya Argentina chini ya miaka 20 kwenye mazoezi na timu ya wakubwa.
Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.

CHEZA HAPA

