Mchezo kati ya Milan vs Juventus ambao ulipaswa kuchezeshwa na referee Daniele Orsato hataweza tena kuchezesha mchezo huo siku ya jumapili na itabidi kutafutwa referee mwingine.
Kulingana na taarifa mbalimbali kutoka italia kuwa referee huyo mwenye miala 46 hataweza kuwpo kwenye dimba la San Siro siku ya jumapili kuweze kuchezesha mchezo huo mkubwa kati ya Milan vs Juventus.
Kwaiyo AIA wanaohusika na kuwapanga waamuzi itabidi watafute mwamuzi wa kuweza kucheza mchezo huo wa seria A, huku watu wanaopigiwa chapuo Marco Di Bello, Davide Massa na Paolo Valeri kuweza kucheza mchezo huo, mpaka sasa bado haijajulikana kwa nini Daniele Orsato hataweza kuchezesha mchezo huo.
Di Bello imeshawataja VAR referee wa kwenye mchezo huo, kwaiyo imebaki kazi ya AIA ambao wanawajibu wakuchagua referee ambaye atachezesha mchezo huo.
Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.
CHEZA HAPA