Mchezaji wa kimataifa wa Argentina Angel Di Maria anajiandaa kuondoka katika klabu ya Paris Saint-Germain na kujiunga na Juventus kwa uhamisho huru hii ni kwa mujibu wa vyanzo vya habari za soka nchini Italia.

Winga huyo ambaye ameitumikia Juve kwa miaka 7 sasa yupo kwenye mwaka wake wa mwisho kwenye mkataba wake ambao unatarajia kuacha kufanya kazi mwisho wa msimu huu 2021-22.

Juve wamekuwa wakihusishwa na kutaka kumnunua Di Maria na kwa mujibu wa Football Italia imeeleza kuwa dili lipo karibu kukamilika.

Di Maria atapokea mkataba wa mwaka mmoja na chaguo la miezi 12 zaidi na mshahara wa Euro milioni 7 kwa mwaka.

Di Maria alijiunga na PSG akitokea Manchester United mwaka 2015 lakini kabla ya kujiunga na Red Devils alitumia mismu minne na Real Madrid na kuafanikiwa kiutwaa mataji ya LaLiga, Ligi ya mabingwa na Copa del Rey.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa