Jezi aliyotumia nyota wa timu ya taifa ya Comoros Chaker Alhadhur imehifadhiwa kwenye makumbusho ya FIFA

Mlinzi huyo wa kushoto aliacha gumzo kubwa kwenye michuano iliyopita ya AFCON baada ya kulazimika kucheza nafasi ya mlinda lango kwenye mchezo muhimu wa hatua ya 16 Bora ya michuano hiyo dhidi ya wenyeji Cameroon.

Fifa
Fifa

Licha ya Comoro kupoteza mchezo huo kwa kufungwa 2-1 lakini mashabiki wa soka hawatosahau ubora aliounesha mchezaji huyo licha ya wakati mwingine kujisahau kuwa ni kipa

Mlinzi huyo wa kushoto Alhadhur, alilazimika kuanzia langoni siku hiyo baada ya makipa wote wa Comoro kukutwa na UVIKO19 kwenye vipimo kabla ya mchezo huo.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa