Beki wa Inter Milan Federico Dimarco amesaini mkataba mpya utakaomweka klabuni hapo hadi Juni 2026.Mkataba wa awali wa beki huyo ulitarajiwa kumalizika mwishoni mwa msimu ujao.

Dimarco Arefusha Kandarasi Yake na Inter

Mchezaji huyo wa zamani wa timu ya taifa ya Italia kwa mara ya kwanza alijiunga na klabu hiyo akiwa na umri wa miaka saba, lakini alicheza mechi mbili pekee na alitumia muda kwa mkopo Ascoli na Empoli kabla ya kwenda Sion ya Uswizi mwaka 2017.

Lakini, Dimarco alirejea San Siro mwaka mmoja baadaye Inter ikitumia chaguo la kumnunua tena, na nafasi zaidi za mkopo zikifuata Parma na Hellas Verona.

Shabiki wa kudumu wa Inter, Dimarco amemvutia kocha mkuu mpya Simone Inzaghi msimu huu na kuichezea Nerazzurri mechi 24 katika mashindano yote, akifunga mabao mawili.

“Nimekuwa nikienda uwanjani kutazama mechi za Inter tangu nikiwa na umri wa miaka miwili,”Dimarco alisema, akinukuliwa na Football Italia. “Kwa hakika hii si jezi kama nyingine kwangu.


KUWA BINGWA MSIMU HUU WA SIKUKUU NA OCEAN CALL

Nani hapendi kuwa bingwa na kujishindia mkwanja wa kusahato kuelekea katika sikukuu wiki hii. Mchezo wa Ocean Call kutoka kasino maridhawa za meridianbettz unakupa kila sababu ya kuifanya siku kuu yako kuwa ya kuvutia zaidi.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa