Pele Atolewa Hospitali Lakini Ataendelea na Matibabu

Gwiji wa soka ulimwenguni Edson Arantes do Nascimento “Pele” aliruhusiwa kutoka hospitali siku ya Alhamisi ambako alikuwa amelazwa kwa wiki kadhaa kutokana kusumbuliwa na maradhi ya utumbo.

Pele Atolewa Hospitali Lakini Ataendelea na Matibabu
Pele akiwa na timu ya madaktari aliporuhusiwa kutoka hospitali

Pelé alikuwa amelazwa katika hospitali ya kifahari ya Albert Einstein mwezi Desemba 9 ili kupokea “kipindi cha mwisho cha matibabu ya kemikali” baada ya matatizo aliyokuwa nayo kufuatia kugunduliwa kwa saratani ya rangi ambayo uvimbe wake ulitolewa Septemba 4 iliyopita katika hospitali hiyo hiyo.

Pele mwenye umri wa miaka 81 aliondoka akitabasamu huku ripoti ya matibabu ikionyesha kuwa “yuko imara na ataendelea na matibabu ya uvimbe kwenye utumbo mpana uliotambuliwa Septemba mwaka huu”.

Taarifa ambazo zimetolewa kuhusu hali ya afya ya mchezaji huyo maarufu zimekuwa chache, kwani wakati wa upasuaji huo ugonjwa aliokuwa akiumwa haukuwekwa wazi.

Aliandika kwenye mitandao yake ya kijamii “Nitaitumia sikukuu ya Christmass kuwa na familia yangu nyumbani.


KUWA BINGWA MSIMU HUU WA SIKUKUU NA OCEAN CALL

Nani hapendi kuwa bingwa na kujishindia mkwanja wa kusahato kuelekea katika sikukuu wiki hii. Mchezo wa Ocean Call kutoka kasino maridhawa za meridianbettz unakupa kila sababu ya kuifanya siku kuu yako kuwa ya kuvutia zaidi.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.