Floyd Mayweather Kupambana na Logan Paul

Pambano la Floy Mayweather na Logan Paul litakuwa ni pambano la maonesho tu. – Carl Froch

Kwa mujibu wa Carl Froch, ni kuwa tetesi za pambano la Floyd Mayweather dhidi ya mhamasishaji wa YouTube Logan Paul litakuwa ni pambano la maonesho zaidi kuliko ndondi halisi za kulipwa.

Mayweather, yupo katika majadiliano ya pambano dhidi ya mhamasishaji huyu kwa mujibu wa chanzo kutoka katika timu yake.

Hata hivyo Froch, ambaye ni mtaalamu wa Sky Sports anaamini bingwa huyu mara 4, kupambana dhidi ya Logan Paul siyo pambano linalopewa uzito sana kama pambano halisi la ndondi za kulipwa. Litakuwa ni kama maonesho tu ya kibiashara.

Watu wengi wanavutiwa na wanatarajia kushuhudia pambano hili. Pambano kama hili, ni mapambano ambayo huwa hayana athari kubwa kwenye historia ya ndondi za kulipwa za bondia.

Mfano pambano dhidi ya Tenshin Nasukawa, Mayweather hakuwa na kitu cha kupoteza kwenye rekodi yake ya ndondi za kulipwa hata kama angepoteza. Hivyo pambano dhidi ya Logan pia linatarajiwa kuwa na uzito huu. Taarifa zaidi zitawekwa wazi baada ya kukamilisha mazungumzo.


FURAHIA KASINO YA MTANDAONI

Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.

Cheza Sasa

35 Komentara

    litakuwa pambano kali sana mayweather nakuaminia mwamba

    Jibu

    Litakuwa pambano lakufa mtu hilo ngumi jiwe

    Jibu

    Mpambano mkali

    Jibu

    Litakuwa la aina yake ili pambano

    Jibu

    Linaonekana pambano litakuwa zuri sana tusubiri tuone matokeo

    Jibu

    Mayweather lazima amkalishe mtu.

    Jibu

    Mpambano makali

    Jibu

    Pambano litakuwa Kali sana

    Jibu

    Aisee hili Pambano sio la kukosa

    Jibu

    Mpambano utakua mkali

    Jibu

    May ni babalao

    Jibu

    Pambano la kufa mtu

    Jibu

    Floyd Mayweather mtaalam wa kupiga pesa wenyewe wanasema easy money

    Jibu

    Jamani mwenye nguvu ya kumshinda mwenzake ndiyo mshindi#meridianbett

    Jibu

    Mtanange utakua balaa

    Jibu

    Tumemiss sana mashabiki wa ngumi

    Jibu

    Watu wapo kibiashara zaid

    Jibu

    Floyd Mayweather sijawahi kuamini kama amestafu rasmi, naamini kuna siku atarejea Ulingoni pale mpunga mrefu utakapotolewa#meridianbettz

    Jibu

    Namkubar Sana Mayweather

    Jibu

    Mayweather lazima ampasue mtu

    Jibu

    Mayweather hauachi mtu salama

    Jibu

    Pambano la nguvu

    Jibu

    🔥🔥

    Jibu

    Tumemiss sana

    Jibu

    Namkubal sana Floyd Mayweather n bonge la mpiganaji mzur sana

    Jibu

    Mambo ni 🔥🔥🔥🔥

    Jibu

    Huyu mtu hapigani bure huyu

    Jibu

    Kama cha mtoto tu kwake mayweather pambano hilo amekua akipigina bila ya kushindwa katika mapambano yake yote

    Jibu

    Mambo moto

    Jibu

    Mywearther taratibu usije ukaua!!!

    Jibu

    Mayweather ataki rekod anatafuta mkwanja tu

    Jibu

    Hii itakua shda mjin

    Jibu

    Mayweathr kashavunj rekod nying kweny box oliobak nk kupiga pesa tu

    Jibu

    pambano kali

    Jibu

    Floyd Mayweather mtaalam wa kupiga pesa wenyewe wanasema easy money

    Jibu

Acha ujumbe