Klabu ya Bologna imekamilisha usajili wa beki Aaron Hickey kutoka Heart of Midlothian FC.
Kinda huyu mwenye miaka 18 amekuwa akihusishwa na kuondoka Hearts kwa takribani mwezi sasa. Taarifa zinasema kuwa kinda huyu ameikataa ofa ya kuungana na klabu ya Mabingwa Bayern Munich na kuwamua kutimba Serie A, kuichezea Bologna.
Celtic na Bayern pia waliunga tela kwenye tetesi za awali za kuiwania saini ya nyota huyu ambaye ameishia kutua Bologna kwa dau ambalo halijawekwa wazi.

Aaron Hickey anacheza katika nafasi ya beki wa kati, na aliweza kuona nyavu mara moja katika mechi zake 32 alizowachezea the hearts. Staa huyu anatarajiwa kuwa anaweza kuingia dimbani kwa mara ya kwanza akiwa na Bologna dhidi ya Parma
Licha ya klabu kutokuwa tayari kuweka wazi dau la uhamisho wa staa huyo kwa sasa, tetesi zinataja kuwa inaweza kuwa kati ya euro milioni 1.5.
FURAHIA KASINO YA MTANDAONI
Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.


Ernest
Sio Mbaya mwanzo mzuri kwa Aaron Hickey
Johnmary joel
Kila raheri nenda ukakazane#meridianbett
Fatuma kasomo
Safi pambana
Amiri Kayera
Wasajir kijan mdg
Theonestina
Kila la kheri
aisha
Safi sana kwa Aaron kila la kheri nenda kakipige
Sadick
Usajiri makini#meridianbettz
Sabrina
Haya karibu ulisakate kabumbu
Gabriel
Aaron kila la kheri nenda kakipige
Adelta
Mashabiki tunakutakiya kila la kheri Aaron
Mwajumah
Sio mbaya mwanzo mzuri kwa Aaron hickey
Elika
Sahi sana kijana
Dorophina
Usajili mzuri sana huu wamefanya kijana bado mbichi kabisa
Sauda
Aaron wameanza vizuri
Zeiyana
Huu ndio mda wake wa kuonesha maajabu ili kuoneka kwenye vilabu vikubwa
Khadija
Ujasiri makin
Caroline
Jambo zuri
Tatu
Safi sana
Janeflora malisa
Good
Rose kapinga
Kazi nzurii
Issa
Umahir wake unaonekan na timu kama hiz ukiacha mbali na umri mdog alionao
Hopemwaikuka
Waoo! Nmempenda
Rehema
Iko pao
Frank P
Zimebaki siku chache tu dirisha kufungwa huu ndio muda team kuandelea kutanua vikosi vyao
aisha
Ameonyesha umahir lich ya kuwa na umri mdogo
felister
usajili makini
David Pere
Sio Mbaya mwanzo mzuri kwa Aaron Hickey
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri Sana mwanzo mzuri