Klabu ya Chelsea imemsaini golikipa wa Senegal Edouard Mendy akitokea klabu ya Ligue 1 Rennes kwa kandarasi ya miaka 5, klabu hiyo Premier League imethibitisha siku ya Alhamisi.
Klabu hiyo iliyotumia kiasi kikubwa cha fedha katika dirisha la usajili msimu huu, imeripotiwa kutumia zaidi ya £20m kumleta darajani Mendy mwenye umri wa miaka 28.
Ujio wa Mendy London utaondoa shaka kwa Lampard ambaye amekuwa haridhishwi na kiwango cha golikipa Kepa Arrizabalaga, ambaye alifanya kosa lililoigharimu Chelsea mechi dhidi ya mabingwa watetezi wa Premier League Liverpool mchezo ambao Liverpool ilishinda kwa 2-0 wikendi iliyopita.
Mendy aliisaidia timu ya Rennes kufuzu kucheza ligi ya mabingwa Ulaya kwa mara ya kwanza msimu uliyopita na kwa sasa amekuwa mchezaji namba nane aliye sajiliwa na Frank Lampard katika dirisha hili la uhamisho baada ya kuwasajili Hakim Ziyech, Timo Werner, Thiago Silva, Kai Harvetz, Malang Saar, Ben Chilwell, Xavier Mbuyamba, na Edouard Mendy.
FURAHIA KASINO YA MTANDAONI
Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.


magdalena
kweli chelsea wameamua sana msimu huu goalkeeper mzuri sana uyu
Fatina
Kikosi kinazid imalika Safi Chelsea!
Samira
Chelsea hawataki masihala kabisa msimu huu
Sadick
Baada ya Mendy kusaini nafasi ya Kepa ipo hatarini#meridianbettz
Venerose
Chelsea wameamua kijipanga msimu huu
Adelta
Chelsea wako vizuri sana
Sauda
Mendi anafaa sana.
Khadija
Chelsea wajipange msimu huu
Rehema Dickson
Mambo yatakua makubwa sana msimu huu
Angelina
Chelsea hawataki mchezo
Caroline
Alifanya vibaya sana
Caroline
## Mendy karibu Chelsea.naona Chelsea wanaimarisha kikundi chao
Elika
Chelsea nawapa hongera sana kwa hilo
Saupha mohamed
Chelsea msimu huu nomaa
Shan
Mendy yuko vizur chaguo nzur kwa Chelsea
Tumaini kasalile
Chelsea wako vizuri
Nasra
Chelsea noma sana
aisha
Chelsea wamepata jembe maana mendy yuko vizuri sana
Mwajumah
Chelsea hawataki kabisa masihala msimu huu
Neema
Chelsea tripu hii wamejipanga
Dorophina
Msimu huu Chelsea wakishindwa tena sijui watawaambia nini mashabiki maana wamejipanga kila sekta
Hidaya
Pongezi kwa Chelsea
Lydia Emmanuel Magoti
Chelsea safari hii wapo moto
JULIANA WILBARD ALEX
Msimu huu Chelsea wako vizuri
Tatu
Chelsea awataki mchezo
Ernest
Kepa atakalia kuti kavu sasa
Mwanahamisi
Chelsea noma
Johnmary joel
Wamepata jembe#meridianbett
Fatuma kasomo
Nomaa
Amiri Kayera
Usajir mzur
Theonestina
Hongera yake
Sabrina
Ni golikipa mzuri
Aziza mushi
Chelsea wapo vizuri
Gabriel
Chelsea wanaimarisha kikosi chao
Samiah
Chelsea wanaimarisha kikosi
Zeiyana
Lampard hataki mchezo kwa kweli ila ki ukweli tu Chelsea hawana uwezo wa kuwazuhia Liverpool wakiwa uwanjani
Rose kapinga
Chelsea kikosi chake kitakua imara sana kwa usajili huu
Issa
Swala la mlinda mlango limekuwa ni tatizo kubwa chelsea kepa imeonekan ajafit pamoja na kusajiliw kwa pesa nyingi
Hopemwaikuka
Chelsea wako na jambo lao
Rehema
Iko poa
Tumaini kasalile
Naam naona Chelsea kumenego
felister
usajili mzuri
David Pere
Msimu huu Chelsea wakishindwa tena sijui watawaambia nini mashabiki maana wamejipanga kila sekta