Kurejea tena kiwanjani baada ya kifungo cha Kifungo cha Miaka 12 kwa Kosa la Dawa Kulevya.
Mwanzoni mwa mwaka 2007 Francesco Flachi alikuwa na msimu mzuri akiwa na klabu yake ya Sampdoria, Huku akijitengeneze nafasi ya kuwa lejendari captaina ambaye ni mfumgaji wa magori zaidi ya 100 na pia akiitwa kwa mara ya kwanza na timu ya taifa ya Italia.

Tarehe 28/1/2007 ndio siku maisha yake yalipo badilika kaitka mchezo wao dhidi ya inter milan pale alipopimwa na kukutwa kuwa ni mtumiaji wa dawa za kulevya aina ya cocaine.
Alifungiwa kujihusisha na mpira wa miguu kwa takribani miaka miwili.
‘Nilipoteza kila kitu, nilikuwa mtu wa mfano hapa Genoa.” flachi aliimbia BBC nilianza mwaka vizur na kufunga goli mbili huku nikiitwa kwa mara ya kwanza na timu yangu ya taifa.
– Francesco Flachi
Flachi na matukio yenye utata mapema mwaka 2006 alidukiwa simu yake na akakutwa na kashfa ya kujaribu kupanga matokeo , na akasimamishwa kwa miezi miwili kutojihusisha na mpira wa miguu “sina cha kufanya” alisema “sikubaliani na adhabu”
Mwaka 2009 baada ya kifungo alipimwa tena na kukutwa bado anatumia dawa za kulevya . Nakuongezewa kifungo zaidi cha miaka 12 na kumaliza kabisa tumaini tena la kurudi uwanjani.
Na ilionekana kuwa hataweza tena kurudi uwanjani. lakini ni miaka kumi na mbili sasa Fransesco Flachi pasi kutarajia anajiandaa kurudi tena.
Francesco Flachi, wakati yupo kifungoni alikuwa mkufunzi asiye rasmi wa timu ya mtaani ya Bagno a Ripoli iliyoshinda ligi na kikombe. Pia, alikuwa mkufunzi wa timu ya vijana ya Signa 1914, tokea kutokee mlipuko wa korona alianza kufundisha mafunzo binafsi ya mpira wa miguu kwa watoto 50.
Sasa anajiandaa kurudi kama mchezaji wa Signa 1914 akiwa na miaka 46 pindi tu adhabu yake itakapo kwisha mapema januari.
Meridianbet inakuletea ushindi kwenye kiganjani kwako, unafurahia radha halisi ya burudani ya kasino mtandaoni na tabasamu la ushindi.



[email protected]
Nice update