Mchezaji wa Lazio Ciro Immobile amefanikiwa kumpita Silvio Piola kama mfungaji wa muda wote wa Lazio katika ligi ya Serie A akifikisha mabao 144 ya ligi akiwa na klabu hiyo.
Immobile amefikisha idadi hiyo ya magoli katika michezo 201 baada ya kufunga kwa mkwaju wa penati katika ushidni wa 1-0 dhidi ya Venezia siku ya Juamtatu.
Immobile sasa amefunga mabao 21 katika mechi 24 za Serie A msimu huu na tayari ameipita rekodi yake ya msimu 2020-21 ambao alifunga mabao 20 bado ana nafasi ya kuweka mengine kwani bado micgjhezo 11 ligi ya Italia kufikia tamati.
Piola alikuwa akishikiria rekodi ya ufungaji bora wa muda wa klabu akiweka kambani mabao 143 katika michezo 227 kati ya mwaka 1934 mpaka 1943.
SHAOLIN FORTUNES 100 ONJA LADHA YA USHINDI
Maana ya ushindi mkubwa ipo hapa katika mchezo wa SHAOLIN FORTUNES 100 ndani ya kasino maridhawa za meridianbettz. Kwa dau dogo unashinda zaidi, unaweza kucheza mara nyingi uwezavyo huku ukifurahia ladha ya ushindi.