Christian Karembeu amedai kwamba mchezaji wa Paris Saint-Germain Lionel Messi anastahili kupewa heshima zaidi na mashabiki wa mpira wa miguu wa Ufaransa.

Karembeu: Messi Anastahili Heshima zaidi Ufaransa

Hii inakuja kufuatia wiki za hivi karibuni mashabiki wa PSG wamekuwa wakiwazomea Neymar na Messi wakati wa mechi ya Ligue 1dhidi ya Bordeaux baada ya PSG kutolewa kwen yhe michuano ya Ligi ya Mabingwa.

Messi amefunga mabao 9 na kutoa asisti 13 katika michezo 32 kwenye michuano yote tangua ajiunge na mabingwa hao wa Ufaransa akitokea Barcelona kwa uhamisho wa bure.

Karembeu ambaye aliwahi kushinda Kombe la Dunia na mataji ya Ulaya wakati akicheza soka anadhani Messi anastahili kupewa nafasi ya kuwa kiongozi kiti ambacho lkinaweza kumrudisha kwenye ubora wake.

Karembeu alisema: “Messi ni mchezaji anayesisimua na kivutio kwa Ligi ya Ufaransa. Messi ni zaidi ya mchezaji tunapaswa kumuheshimu zaidi mchezjai huyu hapa Ufaransa.

“Tunahitaji kumpa unahodha wa timu ya PSG sababu anaweza kuiunganisha timu


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa