Liverpool Wanamtaka Bart Verbruggen Kumrithi Alisson

Liverpool wanamfuatilia kwa ukaribu kipa namba moja wa Anderlecht Bart Verbruggen kama chaguo lao la kwanza. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.

 

Bart Verbruggen

Alisson ndiye chaguo la sasa la Liverpool kati ya makaipa wote, huku Mbrazil huyo akiwa na ushawishi mkubwa tangu kuhama kwake kutoka Roma mnamo 2018.

Licha ya kuwa na umri wa miaka 30 pekee, inaonekana kana kwamba kikosi cha Jurgen Klopp tayari kinapanga siku zijazo kusajili kipa mwingine kama mbadala wa Alisson.

 

Alisson Becker

The Sun wanaripoti kwamba Anderlecht wanavutiwa na Bart Verbruggen mwenye umri wa miaka 20. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.

Akiwa na urefu wa futi 6 na inchi 4, Mholanzi huyo amecheza mechi 15 akiwa na Anderlecht. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!

Bart Verbruggen ndiye anayelengwa sana msimu wa joto, huku Caoimhin Kelleher akionekana kuwa tayari kuihama klabu hiyo.

Kwa hivyo, kikosi cha Klopp kitahitaji kutafuta mbadala wake, mtu ambaye atashindana na Alisson kwa nafasi ya 1 langoni.

Bart Verbruggen anaweza kuibuka kama jibu, lakini Liverpool wanaweza tu kuhama mara tu watakapojua zaidi kuhusu mustakabali wa Kelleher. Meridianbet wanatoa ODDS kubwa na zawadi ya ukaribisho ukijiunga. Bashiri hapa.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.