Mason Mount anakaribia kujiunga na Manchester United akitokea Chelsea baada ya kuafikiana na masharti ya kibinafsi. Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi mbalimbali.
Kwa takribani wiki moja sasa kumekuwa na taarifa zikitembea kuhusiana na Mount, kuhitajika na Mashetani Wekundu ambapo kwa taarifa za sasa ni kwamba, nyota wa Chelsea, Mount amekubali masharti binafsi juu ya kuhamia United.
Arsenal na Liverpool pia wanamtaka mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24, lakini nyota huyo wa kimataifa wa Uingereza sasa anaonekana yuko tayari kuhamia United. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.
United sasa wako tayari kutoa ofa rasmi ya kumsajili Mount kutoka Chelsea huku Erik ten Hag akishinikiza kukamilisha dili hilo haraka. Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.
Kwa mujibu wa The Telegraph, Ten Hag anaona Mount kama usajili wa kipaumbele na pia anataka mshambuliaji mpya, huku Harry Kane wa Tottenham akiwa analengwa sana.
Chelsea ambao wako tayari kumuuza kiungo huyo huku mkataba wake utakapomalizika 2024, wanadaiwa kumpa thamani ya paundi milioni 80 lakini United wana uhakika wa kukubaliana na dau la chini.
Mechi yake ya mwisho msimu huu ilikuja Aprili 18 ambapo alicheza kwa dakika 13 tu baada ya kushindwa 2-0 na Real Madrid katika mechi ya mkondo wa pili wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.