PSG: Hofu Dhidi ya Mbappe

PSG kijasho kinawatoka kwa sasa juu ya supastaa wao Kylian Mbappe kama atakuwa fiti kuwakabili Manchester City kwenye nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuumia kwenye mechi dhidi ya Metz.
MbappeSupastaa huyo wa Ufaransa, alitolewa uwanjani dakika 87 akidaiwa kuwa na maumivu ya paja aliyopata kwenye mechi hiyo ya ushindi wa mabao 3-1, ambapo alifunga mara mbili na bao jingine likifungwa na Mauro Icardi.

PSG itakipiga na Man City keshokutwa Jumatano ikiwa ni mechi ya kwanza ya hatua hiyo ya nusu fainali.


KWANI MERIDIANBET WANASEMAJE! MKWANJA UPO KWENYE KASINO MPYA YA MINI POWER ROULETTE.

mini power roulette

Unawezaje kukosa ubingwa ndani ya kasino hii maridhawa, Nafasi ya kushinda mkwanja ni kwa kila mtu, Meridianbet inakupa nafasi ya kuwa mmoja ya washidi leo, unasubiri nini?

CHEZA HAPA

10 Komentara

    Pole yake mbappe

    Jibu

    Poleni sana psg

    Jibu

    Nakutakia kila la kheri

    Jibu

    Pole kwa chama langu

    Jibu

    Sasa hawana fowad mwingine

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Balaa

    Jibu

    Pole yake mbappe

    Jibu

    Pole sana Mbappe

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.