Uchambuzi FA Cup: Chelsea vs Manchester City

FA Cup ni michuano mikubwa nchini Uingereza ambapo Arsenal ndiyo vinara wa kutwaa mara nyingi kombe hilo wakiwa wameshinda mara 14 wakifuatiwa na Man United mara 12 na watatu ni Chelsea ambao wameshinda mara 8, leo tarehe 17 April 2021 ni nusu fainali nyingine inayo wakutanisha Chelsea na Manchester City katika dimba la Wembley.

Uchambuzi FA Cup: Chelsea vs Manchester City

Taarifa za timu zote:

Kiungo wa Chelsea Mateo Kovacic yupo nje ya dimba sababu ya jeraha la harmstring ambayo alipata mazoezini.

Mlinzi wa kati Andreas Christenses ambaye anasumbuliwa na jeraha la misuli ni mchezaji mwingine wa The Blues ambaye atakasa mchezo huo.

Manchester City kwa mara nyingine itakuwa tena bila Sergio Aguero, ambaye amekosa mechi mbili lakini haikuwekwa wazi ni tatizo gani linalomkabili.

Chelsea haijawahi kuifunga Manchester City katika michezo mitatu kwenye uwanja mpya wa Wembley, walipoteza kwa 2-1 katika nusu fainali ya FA Cup mwaka 2013 wakapoteza kwa 2-0 mwaka 2018 katika Community Shield na wakapoteza kwa matuta kwenye fainali ya League Cup mwaka 2019.

Chelsea wanaweza kufika fainali ya FA Cup kwa mara ya tano na ya nne katika msimu mitano iliyopita.

Chelsea imeshinda mara saba kati ya nane  nusu fainali ya FA Cup walipoteza tu kwa Manchester City mwaka 2013

Manchester City watakuwa wakitafuta nafasi ya kufika fainali ya kumi na mbili ya FA Cup.

City wamepoteza mara moja kati ya 10 katika dimba la Wembley kwenye michuano yote (W7,D2) walipoteza kwa Arsenal katika fainali ya FA Cup msimu uliyopita.

Kikosi cha Chelsea Kinachoweza Kuanza (3-4-2-1): Arrizabalaga; Azpilicueta, Silva, Rudiger; James, Kante, Jorginho, Chilwell; Mount, Pulisic; Havertz

Kikosi cha Manchester City Kinachoweza kuanza (4-3-3): Steffen; Walker, Dias, Laporte, Cancelo; De Bruyne, Rodri, Gundogan; Mahrez, Sterling, Foden


JILIPE KWA NAMBA ZAKO ZA BAHATI NA KENO

Kila mtu ana namba zake za bahati, Meridianbet tunatambua namba zinaweza kukufanya milionea leo. Jilipe kwa namba zako za bahati kila baada ya dakika tano.

CHEZA HAPA

4 Komentara

    Uchambuzi uko makini

    Jibu

    Uko vizuri uchambuzi

    Jibu

    Mechi ya leo itakuwa ya kibabe sana

    Jibu

    ilikuwa poa sana

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.