Inter watakuwa kwenye mawindo yao ya ushindi wa 10 kumfululizo katika Serie A pale watakapo kabiliana na Napoli huku The Nerazzurri wakiwa na matumaini ya kutwaa taji la Scudetto msimu huu.

Vijana wa Antonio Conte wamekuwa katika fomu kwa wiki za hivi karibuni na huenda wakamaliza ukame wa kutoshinda kombe la ligi kwa takribani miaka 11.
Lakini wanajua haitokuwa kazi nyepesi kukabiliana na vijana wa Genaro Gattuso ambao pia wanatumaini la kumaliza katika nne za juu msimu huu.
Inter wanaelekea Naples wakiwa na imani nzuri wakiwa na kumbukumbu ya kushinda mechi zao tisa na wameruhusu mabao manne pekee katika mechi 11.
“Conte anatuambia kila siku kwamba tuanapaswa kufanya mazoezi na kuyakamilisha bila kufikiria tumesaliwa na mechi ngapi” Skriniar 26 alisema.
Baada ya kupambana sana mapema mwezi Februari, Napoli ya Gattuso imeshinda mechi zao nane kati ya tisa kwenye Serie A wamepoteza mara moja pekee.
Inter watakuwa wakitafuta rekodi ya kushinda mfululizo katika safari zao za kwenda Napoli tangu walipofanya hivyo mwaka 1997.
Hii ni mara ya tano katika Serie A Napoli kushinda mara 19 au zaidi kwenye michezo 30 ya kwanza, misimu minne iliyopita walimaliza nafasi ya tatu au nafasi bora,
Tangu msimu 2016-17 magaoli sita kati ya nane Inter wamefunga dhidi ya Napoli yalifungwa na uwili wa Romelu Lukaku (3) na Lauro Martinez(3)
Kila mtu ana namba zake za bahati, Meridianbet tunatambua namba zinaweza kukufanya milionea leo. Jilipe kwa namba zako za bahati kila baada ya dakika tano.



Venerose
Inter wame jitahidi sana msimu huu
Sarah
Uchambuzi matata
Adelta
Uchambuzi wa kijanja
warda
Uchambuzi ulikuwa poa sana