Chelsea wanakwenda nyumbani kwa West Ham United kuzitafuta pointi tatu muhimu iliwaendelee kukaa juu ya msimamo wa Premier League siku ya Jumamosi saa 3:30 alasiri saa za Afrika Mashariki.

Chelsea wakuja katika mchezo huu wakiwa na kumbukumbu ya ushindi mwembamba wa 2-1 dhidi ya Watford wakati West Ham wao walilazimishawa sare ya 1-1 na Brighton siku ya Jumatano.
Taarifa ya Timu
Angelo Ogbonna ambaye akabakiliwa na jeraha la goti leo hatacheza tena lakini Aaron Cresswell anatarajiwa kuimarika na huenda akawa kwenye benchi la Magpies.
Pablo Fornals, Said Benrahma na Jarrod Bowen watashirikiana na Michail Antonio katika safu ya ushambuliaji.
Nikola Vlasic, Arthur Masuaku na Manuel Lanzini ni miongoni mwa chaguzi za mabadiliko, japo inaonekana ni vigumu kwa Moyes kuamua kuchanganya kikosi chake kutokana na umuhimu wa mechi hiyo.
Kwa upande wa Chelsea, Mateo Kovacic na Ben Chilwell bila shaka hawatakuwepo tena kwenye mchezo huo, huku Trevor Chalobah atakosa sababu ya msuli wa paja alioupata dhidi ya Watford.
N’Golo Kante pia bado hayupo kutokana na tatizo la goti, lakini Reece James yupo fiti baada ya kukosa mechi dhidi ya Hornets.
Thiago Silva, Romelu Lukaku na Jorginho ni kati ya wale wanaotarajiwa kuingia kwenye kikosi cha kwanza.
ODDS ZA KIBABE
Timu zote zifunge na yapatikane magoli matatu au zaidi (GG&3+ Odds 2.44)
Timu ya nyumbani kushinda (1 Odds 4.83)
Timu ya nyumbani ishinde na yapatikane magoli kuanzia Mawili mpaka manne (2-4 Odds 7.15)
Mabingwa Meridianbet hawajawahi kukuacha mnyonge hasa katika kipindi hiki cha msimu wa sikukuu, kasino maridhawa ya Carnaval Jackpot inakupa thamani ya dau lako. Kuwa mmoja wa washindi leo hii.


