Mali Yafanya Mabadiliko Makubwa ya Kikosi Chao

Timu ya taifa ya Mali imeingia kwenye maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa kimataifa dhidi ya timu ya taifa ya Urusi utakaopigwa Machi 31 katika dimba la Gazprom Arena.

Mali Yafanya Mabadiliko Makubwa ya Kikosi ChaoKikosi hicho kinaingia kwenye mchezo huo kikiwa na sura mpya kufuatia kuachwa kwa baadhi ya nyota wake muhimu.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa  

Mali Yafanya Mabadiliko Makubwa ya Kikosi Chao

Miongoni mwa majina makubwa yaliyokosekana kwenye kikosi hicho ni Amadou Haidara, Lassine Sinayoko, Yves Bissouma pamoja na Sikou Niakate na goli kipa wao namba moja Djigui Diara, huku sababu zikitajwa kuwa ni mchanganyiko wa majeraha, mapumziko na maamuzi ya benchi la ufundi.

Kutokuwepo kwa wachezaji hao kunaashiria wazi mabadiliko makubwa ndani ya kikosi cha Mali, ambacho kinaonekana kuanza mchakato wa kujenga upya timu yenye ushindani zaidi kuelekea mashindano yajayo ya kimataifa.

Mali Yafanya Mabadiliko Makubwa ya Kikosi ChaoHali hiyo imefungua milango kwa wachezaji chipukizi kupata nafasi ya kuonyesha uwezo wao na kujihakikishia nafasi ya kudumu kwenye kikosi cha taifa, jambo linalotarajiwa kuongeza ushindani wa ndani ya timu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.