Mercedes: Hatma ya Wolff Ni Ipi?

Toto Wolff ataamua hatma yake kuhusu kusalia kwenye uongozi wa timu ya Mercedes kunako michuano ya Formula One – F1.

Chini ya uongozi wa Wolff, Mercedes imekuwa timu yenye mafanikio makubwa katika historia ya Mashindano ya F1 lakini mkataba wake unaisha mwishoni mwa mwaka huu. Wolff amesema anajadiliana na mkurugenzi mkuu wa Mercedes – Ola Kallenius.

mercedes
Timu ya Mercedes Benz wakifurahia ubingwa

“Ninasababu nyingi za kutaka kubaki, lakini ni mchakato. Hakuna sababu ya kutokuendelea kuwepo. Tutajua ni katika nafasi ipi.”

Wolff anamiliki 30% ya hisa za Mercedes na ni kiongozi wa timu hiyo. Wolff amenukuliwa akisema, ” tunataka kufanya vizuri kwa kila kinachowezekana na kuiona timu yetu ikisonga mbele. Ninaifurahia nafasi yangu na mipango yangu ni kuendelea kuongoza, lakini sitaki kuwa kwenye hali ya kushuka kutoka kwenye ubora mkubwa na kuwa na ubora wa kawaida.”

Dereva wa MercedesLewis Hamilton amesema anahitaji ufafanuzi kuhusu hatma ya Toto Wolff kabla hajaingia makubaliano mapya na timu hiyo. Japokuwa, Wolff haamini kama hatma yake inamatokeo yeyote kwa Hamilton.

Toto Wolff (kushoto) akifurahi na Lewis Hamilton (kulia)

Wolff anasema ” Kubaki kwa Lewis ni kitu kikubwa sana na yeye binafsi anataka kubaki. Ana nafasi ya kushinda vitu vingi zaidi, inahamasisha kusikia kwamba kubaki kwake kutategemea maamuzi yangu lakini hanihitaji mimi.”

“Bado sijafanya maamuzi, haya ni majadiliano yanayoendelea kwa sasa na yanamuelekeo chanya, ninayafurahia. Sitaki kuwagusia kwamba ninaondoka kwa sababu sio kweli. Nipo kwenye wakati wa kutafakari muelekeo wa F1, kinachotokea baada ya Corona na sababu zangu binafsi.”

Wolff pia amegusia kwamba kunamazungumzo yanayoendelea kati ya Mercedes na F1 kuhusu mkataba mpya utakao wapa nafasi Mercedes kushiriki michuano hiyo baada ya mwaka huu.

“Wiki iliyopita nilikuwa nina mazunguzo mazuri na Mkurugenzi wa F1 – Chase Carey. Vitu vingi tulivyohitaji ufafanuzi vimefanyiwa kazi na ninadhani tupo kwenye nafasi nzuri ya kusaini mkataba wa ‘Concorde Agreement’. ”

Mkataba wa Concorde Agreement ni msamiati unaotumika na F1 kwenye mikataba kati ya timu shiriki na F1 ambayo [mikataba] ilianzishwa 1981.


Umekuwa mteja muaminifu wa meridianbet? Kuna zawadi kibao hadi 5% ya pesa yako inarejeshwa kwako. Kila wiki unaweza kurudishiwa mpaka Tsh 250,000.

soma zaidi

22 Komentara

    Asante kwa taarifa#meridianbettz

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Itakua pigo kwa mercedes team

    Jibu

    Hatar sana

    Jibu

    Duh!

    Jibu

    Toto Wolff ataamua hatma yake kuhusu kusalia kwenye uongozi wa timu ya Mercedes kunako michuano ya Formula One – F1 Kama ataona umuhimu wake

    Jibu

    Hatari sana

    Jibu

    Mercedes wamepata pigo kubwa sana

    Jibu

    Wolff awezi kuondoka hapo anamiliki hisa ya 30%mercedes na ni kiongozi wa timu hiyo

    Jibu

    Duh Sio poa hii

    Jibu

    Duu noma sana

    Jibu

    Toto Wolf ni jina kubwa ndani ya formula one baada ya mwanzilishi wake Bernie Ecclestone#meridianbettz

    Jibu

    🔥

    Jibu

    Baki tu

    Jibu

    Mmmh

    Jibu

    Duh hatari

    Jibu

    Duuh hatari

    Jibu

    Ni maamuzi yake binafsi

    Jibu

    wolff afanye maamuzi mengine lakini kuondoka apo sio kazi rahisi kwake kutokana na hisa alizokuwa nazo

    Jibu

    maamuzi yake ni sahihi kwake

    Jibu

    Yah good

    Jibu

    Duu noma sana

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.