La Liga Yaingia Kwenye Vita na Vilabu Vyake Vikubwa

La Liga  kupelekwa mahakamani na vilabu vyake vikubwa ambavyo ni Real Madrid, Barcelona na Athletic Bilbao kutokana na uwekazaji wa £1.7bn ambao chama cha mpira wa miguu nchini hispania wameukubali.

Chama cha soka Hispania wiki iliyopita walikubaliana na kampuni binafsi ya CVC Capital Partners ambao watakuwa wanasimamia mapato yote ya hatimiliki ya urushwaji wa matangazo na udhamini wa La Liga.

Siku ya Ijumaa klabu 37 kati ya 42 kwenye ligi kubwa mbili walipiga kura ya kuukubali udhamini huo kutoka CVC Capital Partners, Real Madrid, Barcelona na Athletic Bilbao wamepanga kutoukubali huo udhamini na tayari wanapanga kwende kupinga udhamini huo.

Real Madrid, Barcelona na Athletic Bilbao wameukataa udhamini wa CVC Capital Partners ambao wanadhamani rugby’s Six Nations na awali walikuwa wanahatimiliki ya udhamini Formula 1.


ANZA MSIMU WA SIKUKUU NA BURST THE BANK

Fanya wiki yako iwe ya ushindi mkubwa ndani ya kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo wa BURST THE BANK🔥🤑 ni moja kati ya mchezo pendwa unaowapa wachezaji mamilioni kila siku. Kwa dau dogo unashinda zaidi.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe