Bakari Mwamnyeto beki kisiki wa Coastal Union leo Agosti Mosi amesaini dili la miaka miwili kuitumikia Klabu ya Yanga.
Nyota huyo alikuwa kwenye rada za mabosi wa Yanga kwa muda mrefu ambapo walikuwa wakivutana kwenye upande wa maslahi.
Baada ya kufikia makubaliano mazuri kwa pande zote mbili kati ya Yanga na mchezaji pamoja na uongozi hatimaye leo amesaini dili la miaka miwili.

Akiwa Coastal Union alikuwa ni nahodha ambaye ameongoza kikosi chake kumaliza ndani ya 10 bora .
Kwenye msimamo kipo nafasi ya 7 baada ya kucheza mechi 38 kimefungwa mabao 30 huku ikifunga jumla ya mabao 33 naye akitupia bao moja.
Nini kinachokupa raha kama michezo ya kasino ya mtandaoni? Hasa unapojua kuwa kuna ushindi, jackpot na mizunguko kibao ya bure.
Ungana na bwana Meridian kupata ushindi na burudani.


Sadick
Timu ya wananchi wameanza mapema kuimarisha kikosi#meridianbettz
Antony Luseno
Kwa beki huyu safu ya ulinzi itakuwa imara
felister
Mwamnyeko beki kisiki
Adelta
Huyu beki ataimarisha kikosi Cha yanga
@meridianbettz
Fatina mfingi
Hongera yao yanga
Mwajumah
Yanga mmejitaidi kidogo#Meridianbettz
Sauda
Anafaa , karibu sana..
Caroline
Yanga all the best…
Leonard
Yanga yetu
Ernest
Vijana wanapiga ulaji tuu, Sema Yanga wasiwe wababaishaji watu wanaangalia pia maslahi yao
Khadija
Pongezi yao yanga#meridianbettz
aisha
Naona yanga inaimarisha kikosi sawa tunawatakia kila la kher
Lydia Emmanuel Magoti
Akalibie vema aje kupambana
Furahav
Haya sasa vijana muda wenu wa kuonesha uwezo.
Rehema
Chance for gemu
Tatu
Jagwani kumenoga tukutane msimu ujao
Ester jackson
Kwa usajili huu yanga inaelekea vizuri
Genia Sikaluzwe
Habari njema kwa mashabiki wa yanga
Johnmary joel
Mashabiki wa yanga kijana huyo ongezeni bidii#meridianbett
Issa
Ni safi kwa yanga kupata beki atawasaidia safu ya ulinzi
Shafii
Yanga jengeni kikosi cha ushindani.
Zeiyana
Yanga wanampango wa kujenga kikosi cha msimu ujao.
Flomena
Hongera kwao
Povel
Hana stail SHida najiulizah Timu ya wananchi inafany usajil bila kocha mkuu wala msaidiz hawachezaj nipendekezo la nan hau ndo mpr wetu kila mwenye uwez alet mchezaj wake
Gabriel
Ukiaza kuwazungumzia mabek visiki Tanzania huwez kumuacha kumzungumzia bakar nondo mwamnyeto japo alipewa ofa mbili ambazo moja ilikuwa kwa upande wa Simba ili akawe mbadala wa erasto nyon pamoja na Pascal Wawa ambapo hapa tunaona kuwa simba wamelegea upande wa mabek
Pia yanga ilimtaka kutokana na Kelvin yondan tunamuona kuwa bado Kama anahitabika kupata mbadala au support ila kwa mapenz tunaona kuwa nondo anaipenda sana yanga
Amiri Kayera
Ongera Yanga
Sabrina
Zamu ya yanga kuandaa majeshi yao vyema
Saupha mohamed
Hongera yao
Dorophina
Yanga wanajipanga mpaka raha naona lazima mwakani kieleweke
Rose kapinga
Yanga mmechachamaa hatar tupu!!!
lombo
saf
Hope mwaikuka
Sawa tu
Frank Patrick
Bakari naniiii
Zuhura omary kindamba
Kalibu sana jangwani
Fatuma kasomo
Aya sasa kazi kwenu yanga
Latifa juma mohamed
Safi young africana natumai msimu ujao mema yatatendeka jambo jema kumsahili bakari mwamnyeto beki mahir sana
Theckla
Kila laher mwamnyato
David Pere
Ni usajili mzuri sanaa maana mrisi wa yindani Alikuwa hayupo ,Sasa amepatikana
tumaini
mmh msituaminishe kama ya papy tshishimbi
Mwanahamisi
Hongera yanga
Magdalena
Pamoja na kusajili wachezaji mahili lakini wanatakiwa benchi la ufundi like vizuri
Angelina
Beki mzuri sana
Omary lukumbi
Pongez sana kwa Dar young Africa kwa usajili wa mwamnyeto
Samiah
Duuh safi sanaaa
Devotha
Hongereni sana yanga kwa kuimarisha kikosi chenu
Theonestina
Hongera yao watani zangu
farida ahmadi
Bora aje kuongeza nguvu katika kikosi cha yanga
warda
Hata wakimchukua huyu kipigo kipo pale pale