Beki wa kushoto wa kimataifa wa Rwanda anayeichezea Rayon Sports, Eric Rutanga ni mali ya Yanga baada ya kusema kuwa ameshasaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia timu hiyo.
Hivi karibuni Yanga kupitia kwa Mkurugenzi wa Uwekezaji wa GSM, Hersi Said alisema kuwa baadhi ya wachezaji wataanza kuwasili nchini hivi karibuni baada ya kumalizika kwa Ligi Kuu Bara, ishara inayoonyesha kuwa Rutanga atatua nchini siku chache zijazo.
Rutanga amesema kuwa tayari ameshamalizana na Yanga baada ya kukubali kusaini mkataba wa miaka miwili ambapo alisema kuwa iliwabidi Yanga wamtumie mkataba kwa njia ya mtandao ‘Email’ kwa kuwa mipaka ya Rwanda haijafunguliwa.

“Namshukuru Mungu kila kitu kimeenda sawa kama ambavyo nilikuwa nikitarajia, tayari tumeshamalizana na Yanga na nimesaini mkataba wa kuitumikia kwa miaka miwili, hivyo uongozi wa Yanga umeniambia nisubiri mipaka itakapofunguliwa ya Rwanda watanitumia tiketi ya ndege.
“Hapo awali nilikuwa na mashaka kwa kuwa mipaka ilikuwa imefungwa hivyo kukamilika kwa dili langu ilikuwa ni ngumu ndiyo viongozi wa Yanga waliponitumia mkataba kupitia Email na mimi ikanibidi nisaini kisha nikatumia tena Email kuwajibu, hivyo hivi karibuni nitakuja Tanzania,” alisema beki huyo ambaye alijiunga na Rayon akitokea APR.
Nini kinachokupa raha kama michezo ya kasino ya mtandaoni? Hasa unapojua kuwa kuna ushindi, jackpot na mizunguko kibao ya bure.
Ungana na bwana Meridian kupata ushindi na burudani.


Adelta
Good news
@meridianbettz
felister
kila la kheri mzee baba
Antony Luseno
VPL itakuwa ya kusisimua msimu ujao kutokana na usjili unaofanywa na klabu mbali mbali
Zeiyana
Yupo vizuri sana ni beki ambaye anaijua kazi yake
Sadick
Yanga inafanya usajri wa tatu kuimarisha kikosi chache tayari msimu ujao. Huku Azam inasajiri na kule Wekundu wanasajiri kikosi imara kushiriki klabu Bingwa Africa#meridianbettz
Fatina mfingi
Ni beki bora sanaa
Leonard
Yanga sasa mambo yameiva watu wasubili makubwa zaidi hii ndio yanga ya wananchi subilini na muone
Mwajumah
Yupo vizuri sana Ni beki anayejituma #Meridianbettz
Ernest
Hapa Yanga wanatakiwa wajifunze kitu isije ikawa mambo kama ya Morrison bureeee
Caroline
Njoo lakini usiwe Kama Morrison..
Khadija
Hapo yanga wanatakiwa kujifunza kitu#meridianbettz
aisha
Karibu sana young afrika ila kuwa makini maana wazee wa yanga hawakawii kukutimua ukizingua
Lydia Emmanuel Magoti
Safiii njoo upambane
Sauda
Kwa kweli anaipenda kazi yake
Furahav
Habari nzuri
Rehema
Hii ni habari njema
Tatu
Habari mzuri kwa mashabiki wa yanga
Ester jackson
Yanga naona wanafanya mabadiliko ya kutosha ya usajili
Genia Sikaluzwe
Ni beki mzuri sana anajituma kwenye kazi yake
Johnmary joel
Kweli wamejipanga vizuri Vpel make wamesajili wachezaji wazuri#meridianbett
Issa
Ni habari nzuri
Shafii
Pongezi kwa wana yanga na management nzima.
Flomena
Hongera kwa yanga
Povel
Maproo wanakuj. Kupga HELA bongo hawanaga jipya usajil wao unatrending kwny mitandao uwanjan hawana kitu
Amiri Kayera
Safi sana
Gabriel
Habar njema
Saupha mohamed
Good news
Sabrina
Karibu YANGA
lombo
habar njema
Rose kapinga
Kazi nzur tunasubir mabadiliko!!
Hope mwaikuka
All ze best
Frank Patrick
Watasajiri first eleven yote hao
Zuhura omary kindamba
Makala nzuri
Fatuma kasomo
Ni beki mzuri sana
Latifa juma mohamed
Beki Bora Sana naona msimu yanga c mchezo Safi Sana mnasajili vichwa vya uhakika.
JULIANA
Safi ila ajitume zaidi tuone maajabu yake
Dorophina
Natumaini yanga msimu ujao itakuwa poa zaid naona wanaongeza vyuma tu
Theckla
Habari njema
David Pere
Sana Ndio muda muafaka wa kutengeneza timu ili wake kufanya vizuri msimu ujao
tumaini
hongera mtani
Mwanahamisi
Habari njema
Magdalena
Jambo zuri Sana kwa yanga
Angelina
Ni habari njema
Tatu
Kila LA kheri
Omary lukumbi
Usajili mzr kwa Dar young Africa
Samiah
KIla la kheri
Theonestina
Kila la kheri
farida ahmadi
Habari njema Sana
warda
Yanga naona hawataki mchezo safari hii