Stefano Pioli “Sipati picha” Milan bila Gianluigi Donnarumma na amesema klabu inaendelea kumshawishi mshambuliaji mkongwe Zlatan Ibrahimovic kuendelea kubaki Milan kwa msimu mwingine.
Kiongozi wa Milan Ricky Massara aliweka bayana mazungumzo yanaendelea na nyota hao wote wawili.
Donnarumma alicheza mchezo wa kwanza akiwa na umri wa maika 16 kwenye msimu wa 2015-16 na alisaini mkataba na Rosseneri mpaka mwaka 2021, wakati mkataba wa muda mfupi na Ibrahimovic unaacha kufanya kazi mwezi Januari.
Na kocha wa Milan Pioli, aliongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuinoa timu hiyo siku kadhaa zilizopita, amelenga kuwataka wachezaji hao kuongeza muda wa kuendelea kukaa hapo Milan.

“Sipati picha Milan bila uwepo wa Donnarumma,” aliiambia La Repubblica.
“Kwa sasa ana miaka 21, anauzoefu na anaweza kuwa nahodha.
“Ni mmoja ya magolikipa bora ulimwenguni na ataweza kuwa bora kuliko wote.
Pioli aliongeza: “Ibrahimovic amefanya kila kitu kuwa rahisi ni kujidanganya kulinganisha umri wake na yeye mwenyewe. Asilimia 100 yupo sawa na anafanya mazoezi kila tunafanya hivyo.
“Paolo [Maldini],[Ivan] Gazidis, Massara na mimi wote tunamshawishi aendelee kuwa nasi.
Milan wamemaliza msimu 2019-20 wakiwa na moto, kwani hawakufungwa katika michezo 13 kwenye mashindano yote tangu kurejea kwa mashindano.
Umekuwa mteja muaminifu wa meridianbet? Kuna zawadi kibao hadi 5% ya pesa yako inarejeshwa kwako. Kila wiki unaweza kurudishiwa mpaka Tsh 250,000.


Hope mwaikuka
Yajengen tu
Mwanahamisi
Asante kwa makala
Devotha
Yani hao millan waogopa tu kumuacha Zlatan aondoke mbona wanaweza pasipo yeye kuna vijana wanauwezo sana apo millan wakiandaliwa vizuri huyo Zlatan angestaafu tu akawa mwalimu
Ernest
Zlatan Ibrahimovic alishaweka wazi kutoendelea na Milan wanahitaji kufanya replacement hapa
Lydia Emmanuel Magoti
Nikweli bila waho gemu inakuwa ngumu kwao Milani waya pange tuu kieleweke
[email protected]
Millan bila ibra co millan
rama
Maoni:sijuii itakuwaje yani daaaa
Sabrina
Wanatakiwa wafikie muhafaka mapema tu
Gabriel
Me nawashangaa Milan kumng’ang’ania kizee hicho mpk lin wakat muda huu n mzur wa kufanya mabadiliko ili kupata vijana wazur ambao wanauwezo wa kufanya vzur
Sadick
Ikiwa kweli Milan inataka kurejea kwenye kundi la Klabu bora na shindani Duniani ni kuwa wachezaji wenye uwezo ambao itawatumia muda mrefu kufikia lengo. Ibrahimovic atumike kwenye nafasi za uongozi#meridianbettz
Tatu
Asante kwa makala
felister
waafikiane tu jamani
Issa
Ni safi kwa ibra na kombinesheni hiyo
Khadija
inatakiwa wafikie muafaka#meridianbettz
Shafii
Wahenga wana sema safari na wazee kadabla Kama inahitajika huduma yake clubuni hapo abaki.
Adelta
Ameshazeeka n muda wa kufanya mabadiliko Milan kuliko mtegemea Ibrahimovic wakati Kuna wachezaji vijana wenye uwezo kushinda yeye
Ester jackson
mkongwe Zlatan Ibrahimovic kama akibaki Milan itakuwa powa sana
Sauda
Ni suala la kuafikiana tu!!!
Povel
Habar njema
aisha
Waafikiane tuu
Genia Sikaluzwe
Habari njema
lombo
mambo ni moto na meridianbet
Furahav
Ibramovic bado yuko vizuri japo umri umekwenda.
MnonganeJR
Ibrakadabra bado anauweza Sana ..lakini umri ndo shida. AC Milan tafuteni changamoto nyingine#meridianbettz
farida ahmadi
Ibramovic Bado Yuko vizuri Sana hata kama umri umeenda
Fatuma kasomo
Habari njema
Theonestina
Duuuh atar
Saupha mohamed
Duu nomaaa
Latifa juma mohamed
Asante kwa makala
David Pere
Watampata tabu Sanaa maana timu itapwaya sanaa na kupoteza mwelekeo kabisaa
Dorophina
Milan bila Ibrahim sidhani kama itawezekana
Rose kapinga
Hataaar iyo!!!!
warda
Abaki tu jamani sasa anahangaika nini#Meridianbettz
Mwajumah
Millan bila ibra sio millan#Meridianbettz
magdalena
milan wapambane sana
Zeiyana
Ibrahimovic bado hana mchango mkubwa sana pale inter Milan kama hitawezekana asaini kama kocha msaidizi
Nasra
Huu ni mtihani mkubwa Sana kwa Milan
Caroline
Aisee ata Mimi sipati pichaa
Leonard
Makubaliano ndio kitu muhimu
Salma ngende
Mambo yatakuwa mazuru tu
Zuhura omary kindamba
Huo ni mtihani kwa timu ya milan
Omary lukumbi
Itapwaya na kua si imara sana kama ilivyo msimu
Flomena
Sipati picha Milan bila uwepo wa Donnarumma,” aliiambia La Repubblica.
Rehema
Makubaliano ni kitu kizur
Fatina mfingi
Mmh hatar
Samiah
Habari njemaa