Wachezaji wa klabu ya Chelsea hawatakatwa mishahara ili kuchangia klabu kipindi hiki cha Janga la Corona, lakini “itaendelea kusaidia wenyewe changamoto mbalimbali”.
Imeripotiwa kuwa timu ya wanaume itakatwa 10% mwezi huu.
Lakini taarifa ya klabu imesema “mazungumzo ya kina yamefanyika kujaidili ni vipi timu itachangia.
Bodi ya Chelsea imewaambia wachezaji wake kuendelea kuchagia misaada ikiwemoo NHS.
“Wakti huu, timu ya wanaume haitachangia klabu kiuchumi lakini bodi imewataka timu ielekeze nguvu zake kwenye kwenye kutoa misaada,” taarifa imesomeka.
“Tunashukuru timu yetu, imekuwa mstari wa mbele kusaidia shughuli za jamii lakini pia wametoa misaada kwa wenye matatizo mbalimbali lakini pia wachezaji kusaidia nchini kwako kwakutumia Mfuko wa wachezaji wote pamoja na NHS.”

Mazungumzo yanaendelea kati ya klabu na Klabu na Wachezaji, ambao wanawakilishwa na nahodha Cesar Azpilicueta.
Wachezaji walipewa ofa ya kukatwa chini ya 10% imeripotiwa kwenye vyombo vya habari, lakini bado maamuzi hayajafikiwa baina ya wachezaji na klabu.
Chelsea pia wamethibitisha kuwa hawatotumia mfuko wa serikali wa kujikimu watalipwa watumishi wake mshahara kamili.
“Hatuna mpango wa kupunguza wafanyakzi au kupunguza malipo, wafanyakazi wote wataendelea kulipwa 100% ya mishahara yao,”


Povel
Asante meridian kwa habar za kimichezo
Furahav
Mmh hatari.