Henry Apiga Goti Kumuenzi Floyd

Legendari wa Arsenal, Thierry Henry alipiga goti kwa dakika nane na sekunde 46 kama taarifa ya kuunga mkono juhudi za Black Lives Matter.

Henry alikuwa kocha wakati Montreal Impact wakicheza dhidi ya New England Revolution kwenye Ligi ya MLS wakati Ligi hiyo inarejea alifanya kitendo hicho kwaajili ya kumuenzi George Floyd.

Alivaa T-shirt ya ‘Black Lives Matter’ , Kocha wa Montreal alipiga goti kwa dakika 8:46 za mwanzo katika mechi.

Kwa muda huo inasadikika ndio afisa wa polisi Derek Chauvin ndio alipiga goti kwenye shingo ya Mr Floyd iliyopelekea kifo chake.

Henry alifunga magoli 228 akiwa Arsenal na kuisaidia kushinda mataji mawili ya Premier League, ikiwemo msimu ambao hawakupoteza mchezo wowote na Makombe ya FA mara mbili.

Pia alitwaa Champions League na Klabu Bingwa Dunia akiwa na Barcelona na huu ndio msimu wake wa kwanza akiwa kocha wa Montreal Impact.

51 Komentara

    Ni zaid ya upendo na kuunga mkono harakati za kupinga mauaji ya watu weusi dunian henry alie na rekodi mzr kwenye maisha yake ya soka

    Jibu

    Floyd atakumbukwa daima kwa ukatili waliomfanyia

    Jibu

    Ni zaidi ya upendo

    Jibu

    Floyd amefanya vizuri kuonyesha kujali na kumkubuka

    Jibu

    Henry amefanya vizuri kuonyesha kumujali na kumbuka

    Jibu

    Ni upendo usiohadithika Henry ameonesha ni jinsi gani hana upendo wa aina yake hakika utakumbukwa daima na milele Floyd

    Jibu

    Safi sana henry ndio ishara ya kumuenzi#meridianbettz

    Jibu

    Kumbe Bado Mambo yanaendelea#Meridianbettz

    Jibu

    Watu wengi wameumizwa na kitendo alicho fanyiwa George ni ukatiri ambao hauwezi kufutika nchini marekani lakini kwa kitendo walicho fanya wanachi kwa kupunga unyanyasaji huo sijui kama hutajirudia tena r i p George floyd

    Jibu

    Kifo alichokufa Floyd kweli kinasikisha sana na bado kitaendelea kuishi kwa wanamichezo na wengine duniani,safi sana Henry your the best

    Jibu

    Henry anamoyo wakipekee nizaidi ya hupendo mungu amzidishie

    Jibu

    Kwa tukio ambalo lilitokea kwa ubaguzi wa rangi watu wengi hatujapenda mana wote ni binadamu hivyo Siku zote tutalikumbuka hilo kwa ajili ya kupinga ubaguzi wa rangi safi sana Henry

    Jibu

    Aliuwawa kikatiri sana

    Jibu

    Siku zote tutalikumbuka hilo kwa ajili ya kupinga ubaguzi wa rangi safi sana Henry

    Jibu

    Ubaguzi unaharibu maisha ya watu kiuchumi , kisiasa , kijamii na kisaikolojia. Ni jambo jema kuchukua hatua zinazochukuliwa kuonyesha kuguswa nalo lakini pia kuna hatua kubwa kuchukua kufikia Ulimwengu usio na Ubaguzi kabisa#meridianbettz

    Jibu

    justice for george

    Jibu

    Safii amefanya vizur kumkumbuka

    Jibu

    Aise kafanya vizuri mno

    Jibu

    Ni vyema kuendelea kupinga ubaguzi wa rangi

    Jibu

    Ni kweli ubaguzi unafanya uchumi unashuka na maendeleo hayapo kutokana na hivyo Henry kufanya jambo ilo hakuna mtu mweusi ambae atakataa kumuunga mkono na nafikiri wachezaji wengi walikuwa hawalikubuki ilo lakini kawatoa usingizini kila mtu amemuunga mkono kwa jambo kubwa kama ilo ,big up Henry.

    Jibu

    Safi kumbukumbu nzur

    Jibu

    Huu ndo unaitwa umoja na mapenzi ya dhati

    Jibu

    Kafanya vizuri mno

    Jibu

    saf

    Jibu

    Safi legend Thierry herny#meridianbettz

    Jibu

    Vizur sana tupinge ukatili dhidi ya watu weusi.#blacklivesmatter

    Jibu

    Ni jambo zuri Sana kwa black peoples.

    Jibu

    Big up sanaaa

    Jibu

    Maoni:Henry amejiwekea kumbukumbu nzuri kuonyesha upendo

    Jibu

    Safi#Meridianbettz

    Jibu

    Ubaguzi sio poa,atakumbukwa daima

    Jibu

    Safii sana henry

    Jibu

    Habar njema sana 👍

    Jibu

    Ubaguzi wa Rangi juu ya ngozi nyeusi ni mapigano ya muda mrefu sana

    Jibu

    Ubaguzi wa rangi ni kitu cha kupingwa kote ulimwenguni

    Jibu

    Huo ni upendo wa hali ya juuu ..safi henry

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Amefanya Jambo la maana sana

    Jibu

    Maoni:safi

    Jibu

    That nic news

    Jibu

    Safi sana heshima kwake

    Jibu

    Kafanya kitendo cha heshima sana

    Jibu

    ni zaidi ya upendo kwa kile alichokionesha watu wengi waliumizwa na kitendo alichofanyiwa Floyd

    Jibu

    Uungwana ni vitendo

    Jibu

    Kafanya jambo zuri sana

    Jibu

    Mpaka eataelwa tuuu

    Jibu

    the living legend appreciate

    Jibu

    Henry ur the best bro Nikitendo kibaya Sana kilichotokea kwa Floyd .

    Jibu

    Black lives matter

    Jibu

    Nguv moja

    Jibu

    Vizuri

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.