Nyota wa Cagliari Giovanni Simeone anashinikiza kuwa anataka kuhamia Atletico Madrid.
Kuna taarifa kuwa Giovanni Simeone anataka kuungana na baba yake Diego Simeone pale Atletico. Lakini kwa mujibu wa staa huyu nia ya kuchezea klabu hii inaendelea kuwepo hata kama baba yake asingekuwa meneja.
Kila mtu ana ndoto yake ambayo angependa iwe kweli siku moja. Staa huyu ni kuwa pale Atletico! Kwa staa huyu kama angeamua kuchagua kipaumbele chochote basi angechagua kuhamia Atletico. Amenukuliwa akisema “Nataka kuhamia Atletico kuliko kityu chochote”
Staa huyu anasema tangia alipokuwa mdogo alipenda kwenda Atletico, hivyo hata ingekuwa namna gani bado hili haliwezi kubadilika.
Akizunguzmia uwepo wa baba yake klabuni hapo anasema kuwa hiyo siyo sababu ya yeye kuhitaji kuwepo klabuni hapo. “Baba yangu ni kocha pale, hata kama angekuwa hafundishi pale bado ningehitaji kwenda klabuni hapo.”
Hata hivyo, amekiri kuwa anatumaini baba yake anaweza kuwa kocha wake siku moja licha ya ukweli kuwa kwa vilabu vingi ni vigumu sana timu kumsainisha mchezaji ambaye baba yake ni kocha wa timu husika.
Simeone, ambaye anamtaja Pipita Higuain kuwa kioo chake kwenye soka anaamini ndoto yake hii itatimia. Huenda akajipata yupo Atletico siku za hivi usoni japokuwa.
Unafurahia mchezo gani ambao ungependa ukulipe? Piga mkwanja hapa na Meridianbet


Omary lukumbi
Duu itakua hatar sana someone na mtoto wake ila afanye kweli na kukonga moyo wa mzee wake awe na bidii sio mbaya kucheza timu anayo fundisha mzee wako
Njiku
Gud news
Salma
Hakuna kit u kizuri kama kutimiza ndoto yako,kila la heri giovanni na safari yako
Amiri Kayera
Itakua vzur
Theckla
Itakuwa ni swala nzuri kuwa pamoja na baba yake
David Pere
Mtoto anaamua kurudi kwa baba ili wanye kazi kwa pamoja, ili aweke Record yake naye ya kufundishwa baba yake
Revina
Raha sana mtoto kurudi kwa baba na atafanya kazi kwa kujiamini na kujua kuwa kumbe nayakiwa kujituma ili nisimhaibishe baba
Aziza mushi
Itapendeza Sana 👍
Leonard
Jambo zuri
Fatuma kasomo
Sio jambo baya
Hamidu
Habari njema#meridianbettz
Dorophina
Hapo patakuwa pazuri mtoto anarudi kwa baba kufanya nae kazi itakua poa sana
Genia Sikaluzwe
Litakuwa ni Jambo jema sana
farida ahmadi
Itakuwa vzr Sana akienda kukicheza pamoja na baba ake Simeone popote kambi
Tatu
Itakuwa vizuri
Khadija
Itapendeza sana#meridianbettz
Lydia Emmanuel Magoti
Itakuwa vizuri
warda
Kesha Itiwa Mshiko#Meridianbettz
Zeiyana
Ni kweli hitakua na ugumu kidogo si laisi kabisa kama vipi baba yake haamie clabu yengine alafu haje hatimize ndoto zake lakini kukaa sehemu moja itakua ngumu
Ester jackson
Furaha sana pale baba unapo Fanya kitu kisha mtoto nae anakipenda safii sana
Sadick
Hakuna ubaya Baba na Mwana kuwa timu moja muhimu kila atimize majukumu yake vizuri bila uhusiano huo kuharibu mwenendo wa timu#meridianbettz
felister
kila mtu ana ndoto yake ambapo angependa itimie siku moja
Neema juma
Mawazo yake ni mazuri
Mariam mtandama
Nivizur
Magdalena
Aamie tu atletico Ili akainue kipaji chake vizuri na kuweza kujifunza mbinu tofauti tofauti nyingi
Latifa juma mohamed
Gud news.
lombo
asante meridianbet kwa habar moto moto
Rehema
Mawazo yake si mabaya
Caroline
Karibu sana
Shafii
Unakaribishwa kwa shamra shamra zote njoo upambane.
mwajuma
Anamawazo mazuri sana jamaa#Meridianbettz
JULIANA
Asante kwataharifa
Sabrina
Maoni:Aende tu
Franky
Ni vizur sana haka badili upepo banaa
Gabriel
Wazungu tunasema like a father like son Kama baba Kama mtoto hii ndo kaul zetu wachambuz wa soka baba yake alikuwa mchezaji mpira kipaji chake kilianza akiwa mdogo Wana shule ya msingi na kupelekea kuitwa had jina la utan “cholo ” kutoka kwa mwalimu wake anaitwa Oscar nesi kipindi hicho ila now anafundisha timu kubwa altetico Madrid Diego simeone kitendo cha giovam kwenda altetico kumfuta baba yake ni habar njema sana 👍
Samiah
Akabadili upepo
neema hassan
Mashabk tunamsubr kwa hamu
Ernest
Safi sana Giovanni Simeone, pambana ili siku moja uishi kwenye ndoto yako
Issa
Safi sana kuwa pamoja na dingi patakuwa hapatoshi
Saupha mohamed
Jambo zurii
Furahav
Aende tu kwa baba yake,ila akae akijua baba mwenyewe chizi akicheza utumbo atamueka benchi tu.
Edgar
Karibu ila kama pata kufaa
devotha
wamuache aende ni jambo zuri sana kuchagua sehemu aipendayo
Hope mwaikuka
Popote kambi
mwakalosi
Apige kazi kwanza
Flomena
Hata hivyo, amekiri kuwa anatumaini baba yake anaweza kuwa kocha wake siku moja licha ya ukweli kuwa kwa vilabu vingi ni vigumu sana timu kumsainisha mchezaji ambaye baba yake ni kocha wa timu husika.
Povel tz
Gud news