Jose Mourinho: Wachezaji Wawili Kusepa Spurs

Klabu ya Tottenham Hotspurs wanatarajia kutemana na wachezaji wawili kuelekea msimu ujao. Kwa mujibu wa Jose Mourinho, Kyle Walker-Peters na Jan Vertonghen wanaweza kutokuwa na Spurs msimu ujao.

Walker-Peters kwa sasa anatumikia mkopo wake msimu huu, wakati Vertonghen akiwa na miezi kadhaa tu iliyosalia kwenye mkataba wake.

Walker-Peters ameanza kupata namba mara kwa mara pale Southampton wakati Mourinho akisema kuwa hataweza kumzuia ikiwa atataka kuondoka.

“Kama nia yake ni kutaka kupata mda mwingi wa kucheza na kuondoka sitaweza kumzuia” -Jose Mourinho akimzungumzia Walker-Peters.

Jan Vertonghen alikubali kuongeza mkataba wa mda mfupi hadi mwisho wa msimu huu, lakini ukiwa umesalia mda mchache kwenye mkataba wake mpaka sasa hatma yake haifahamiki.

Pengine huu unaweza kuwa ni mwisho wa Vertonghen baada ya kuwepoi kwa miaka 8 klabuni hapo. Lakini Mourinho anasema kuwa hadhani kama ataendelea kuwepo hadi msimu ujao, labda watahitaji kuona itakuwaje baadaye.


 

Unafurahia mchezo gani ambao ungependa ukulipe? Piga mkwanja hapa na Meridianbet

JISAJILI HAPA UFURAHIE BONASI

 

48 Komentara

    José morihno huyu kocha kuna muda nashindwaga kumuelewa maana unaweza kumtoa mchezaj atakama ni mzr hua anafanya maamuzi muda mwingine inaikost timu ila kama wanaona wachezaj wenyewe hawaendani na mfumo wa morinho basi haina vudi kuondoka na kutafuta club nyingine

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Aangalie isije ikaigharimu timu

    Jibu

    Duuuh pengo kubwa Sana ilo

    Jibu

    Kutakuwa na pengo kubwa San Tottenham dah lakin haina nouma

    Jibu

    Huyo ndio mourinho bwana anachota ndio anafanya acha tuonee kama italeta mafanikio kwa timu wakitoka hao wachezaji

    Jibu

    Uwenda akawa sahihi kikosi kitanolewa kitakuwa sawa

    Jibu

    Asajir wengne

    Jibu

    Jamaa anazidi kuihalibu timu Kama kawaida take Yani inaonyesha huyu sio kocha kwa Sasa Bari ni muharibifu

    Jibu

    Jose Mourinho huwa ni mtata sana ,kuna muda mwingine ufikiri ubabe ndo unaweza kupata matokeo mazuri kumbe sio ,lakini acha waende timu zingine ili kuongeza ujuzi na mbinu za kimichezo kwa wenyeji wao

    Jibu

    Asanteni kwa taarifa.

    Jibu

    Alete majembe

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Jose kashaishiwa mbinu#meridianbettz

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Jose nae mda mwingine km anavuta bangi mbona hao wachezaji wapo vizuri kwnn asiwaache tu

    Jibu

    Alete watu wanaojituma

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Jose kashaishiwa swaga#meridianbettz

    Jibu

    Duu noma Jose Mourinho inabidi ajipange upya ukupanga kikosi kiwe vizuri kunapengo linatakiwa kuzibwa sijui itakuwaje

    Jibu

    Acha Waende tu#Meridianbettz

    Jibu

    Subir tuangalie maamuzi yake yeye kama kocha hanategemea nini? Lakini kutakua na pengo kubwa pale Tottenham

    Jibu

    Huyo ndie Jose Mourinho akiamua lake hawezi kurudi nyuma hata kama itamletea shida ngoja tuone itakuwaje kama wakiondoka

    Jibu

    Mourinyo ndio uondoke na wachezaji wengi watakukimbia kutokana na aina ya ufundishaji wako kwani wacheaji wengi wanahitaji kutwaa mataji na sio longo longo,abadilike na aina yake ya ufundishaji ili timu iwe imara kwani una wachezaji wazuri sanaaa

    Jibu

    ahsante kwa taarifa

    Jibu

    Jose Mourinho bhana akiongea kitu ameongea duu

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Spurs watabaki na pengo kubwa sana

    Jibu

    So , Spurs mtabaki na pengo kubwa

    Jibu

    habari njema

    Jibu

    Aisee pengo kubwa sana

    Jibu

    José Mourinho mbona hujiamini

    Jibu

    Mournho hiyo style ya kila uendako lazima ualibu timu kwa kuuza wachezaji tatizo nin hasa.

    Jibu

    Acha waende zao tu#Meridianbettz

    Jibu

    Jan Vertonghen umri umeenda anaweza kuondoka lakini sio jambo la afya Club kuachia wachezaji vijana waondoke#meridianbettz

    Jibu

    Asante kwataharifa

    Jibu

    Ni habar ya kusikitisha sana ila kwa kufariji tukifatilia tetes za BBC news tunaona Hotspur Spurs huenda wakamsajili kwa mkopo Sessegnon msimu huu wa joto licha ya hofu kwamba nyota ya kiungo huyo mwenye umri wa miaka 20-inafifia chini ya ukufunzi wa Jose Mourinho kwa hiyo wanaweza kuziba pengo

    Jibu

    Timu ime kuchoka we mzee kapunzike tu

    Jibu

    Kapumnzike mzee timu imekuchoka

    Jibu

    Ukweli Spurs inahitaji reformation-Timu imekufa sana yani adi imepoteza radha kwa mashabiki imekuwa sio ile Spurs tunayoifahamu sisi wazee wa soka.

    Jibu

    Mourinho anaharibu kuwauza wachezaji wakati timu haijakaa vizuri

    Jibu

    Jamaa na maamuzi sana ila hua hafilii kwa kinaaa….tusubili tujioneee

    Jibu

    Morinho majanga tu.

    Jibu

    Pole sana Mournho

    Jibu

    Jose tunaomba unapotoa mchezaji usajili wachezaji usiache pengo kwa spurs kwa itakugharimu

    Jibu

    Duh

    Jibu

    Daaah Mourinho anaenda isambaratisha team. Yotee

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

Acha ujumbe