Simba Kuoga Pesa Wakiifunga Yanga

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba SC, Mo Dewji amewaahidi wachezaji wa mamilioni ya pesa ikiwa kama wataifunga Yanga Jumapili kwenye nusu fainali ya Kombe la FA.

Itakuwa ni mara ya tatu kwa miamba hiyo ya Ligi Kuu Tanzania Bara kukutana kwa mwaka 2020 kwani walikutana kwa mara ya kwanza Januari 4 na Machi 8.

Mechi ya kwanza ya Ligi ilimalizika kwa sare ya 0-0 kwa ya Yanga kushinda mechi ya pili kwa Freekick ya Bernard Morrison.

Dewji amewaahidi zawadi wachezaji ikiwa watashinda basi kuna $100,000 ambayo ni sawa na TSh230M watapatiwa ikiwa watashinda dhidi ya wapinzani wao.

“Chukua kutoka kwangu, wachezaji watakaoanza mechi watapatiwa mgao sawa wa $100,000 na suala limebakiwa kwa wale watakao tokea benchi bado halijaamuliwa,” alisema moja ya viongozi wakubwa ndani ya Simba lakini alikataa kutajwa jina, Chanzo Mwanaspoti.

54 Komentara

    Habari jema sana kwa wachezaji wa simba

    Jibu

    Ndio maneno yake mo sasa izo ela zake aziandae kujifutia machozi

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    Jamani Ningekuwa Mie Ningecheza Mpaka Nivunjike Kiuno#Meridianbetz

    Jibu

    mh!!mashabiki wa simba kweli mtaoga pesa zenu hau ndio zitakuwa lesso ya kufutia machozi#meridianbettz

    Jibu

    Wana simba kama nawaona hapo wanavyo haha kama wamepewa tiketi ya maisha marefu ila muache ubaguzi na hao walio kuwa hawana namba pia muwape sio wanaoingia uwanjani tu ila mungu sio bahati nasibu yanga itashinda tu

    Jibu

    Huo mtanange sio wakuongea mechi Simba nayanga haitabiliki kwaii tunasubili iyo taree 12 mpila uwanjani Nani ataibuka bingwa wamabingwa kwenye mtanange huo

    Jibu

    Habari njema kwa Wana simba

    Jibu

    Yanga kutoka kwenye mechi hii ya Watani wa jadi tarehe 12 itakua ni ndoto za alinacha kwani Simba hawatarudi nyuma kamwe kwa hyo Yanga wakiandae kipigo kisichopungua goli 3 pamoja na huyo mchezaji wao naweza sema ndio tegemeo lao la ufungaji kurudi Morrisson ila wataambulia kipigo cha mbwa mwizi.

    Jibu

    Yanga wanakufa goli tatu Simba wanakuwa mabingwa Tena wa FA meridianbettz

    Jibu

    Habari nzuri Sana kwa
    Mashabiki wa simba

    Jibu

    Hapa ndio tatizo linapoanza kwamba bila kuhamasishwa na pesa wachezaji wetu hawajitumi! Wachezaji na viongozi wajue majukumu. Mpaka leo Yanga wanatembea kifua mbele kisa kuifunga Simba!Tunatakiwa kuvuka hapo,twende mbele zaidi#meridianbettz

    Jibu

    Najua yanga hatutashindwa kuwapiga simba mpaka wa bustiwe ndo wanajitahidi kwabidii

    Jibu

    Simba kumfunga yanga iyo ni ndoto ya linacha

    Jibu

    Mpira dk 90

    Jibu

    Hizoo pesa ajiandae kurudiii nazo. Hapa simba hamfungi yanga

    Jibu

    Ni habari njema kwa timu ya simba na wataweza kufanya vizuri kama wenzao Yanga walihaidiwa hivyo na wakafanya vizuri

    Jibu

    Kipindi chakwanza magoli mengi

    Jibu

    Mpira mwamuz dakika 90 , kwa upande mwngn habari njema kwa wachezaji wa Simba kuongeza juhudi na maarifa wawapo uwanjan dhidi ya mtani wao wajadi yanga, all in all yanga in my blood ,more effort chama lng,hizo kelele za chura hazimfanyi tembo kunywa maji .

    Jibu

    Habari njema kwana simba

    Jibu

    Simba nawaaminia ushindi mtaupata

    Jibu

    Nawapa pole San mashabiki wa Simba yanga ya zamani sio ya sasa ngoja muone naamin ushindi wa yanga tuuu

    Jibu

    simba juuuu

    Jibu

    Simba babalaoooo

    Jibu

    Sijui itakuwaje hyo siku ya jpili

    Jibu

    Há há há mtasubiri sana

    Jibu

    Sidhani Kama hamasa hii ya kuwaidiwa pesa itazaa matunda Siku zote naamini dk 90 ndizo zitakazo zungumza sio ya kukosa hii.

    Jibu

    Simba ndio mpango mzima#Meridianbettz

    Jibu

    Maoni:Mpira dk 90 wachezaji wa simba wanaweza kuzisikia kwenye bomba hizo $100,000

    Jibu

    Mchezo pesa, this is simbaaaaaaa

    Jibu

    Ipo poa sana kwa simba hii

    Jibu

    Yanga kufungwa lazima

    Jibu

    Je hakuna neno lolote kwa wachezaji kutoka kwa wazee wa Bakuli??!!!

    Jibu

    Itabid wajipange sana maana hata yanga GSM nao wametoa fungu kubwa kushinda wao hivyo sio Jambo jepesi Kama wanavyochukulia ni ngoma ngumu hatar

    Jibu

    Nice nwes

    Jibu

    Ni ngumu

    Jibu

    Simba IPO vizuriii

    Jibu

    Yanga lazma afungwe tu.

    Jibu

    Hongera Sana Simba tunafurah Sana mashabiki wenu muendelee kukimbiza hivyo hivyo musituangushe

    Jibu

    Hahaha wataweza sasa..😲😲😲

    Jibu

    Haahaahaa yanga wanatia huruma kweli

    Jibu

    Simba ina kila sababu ya kuibuka na ushindi timu nzur wachezaji wako vyema na pesa ipo pia

    Jibu

    Mo anatamani kuona simba wakishinda dhidi ya yanga ila mpira dakika 90 tutaona matokeo

    Jibu

    🕗

    Jibu

    Hii mechi itakua kufa na kupona maana hii mechi inaleta hamasa na uhasama kwa mashabiki wa timu hzi mbili kumpa mtu kitu kwa ajili ya kitu ni kumpush afanye zaid ni sawa na kumpa motisha tuu GSM nadhan hata wao wame waahid yanga

    Jibu

    Simba ana kikosi kizur lakin akifika kwa yanga anapiga saluti

    Jibu

    Sasa wampige yanga wachukue hizo pesa

    Jibu

    Maoni:habari jema kwa simba

    Jibu

    hawa kandambili lazima wafe tu

    Jibu

    Dewji amewaahidi zawadi wachezaji ikiwa watashinda basi kuna $100,000 ambayo ni sawa na TSh230M watapatiwa ikiwa watashinda dhidi ya wapinzani wao.

    Jibu

    Simba wapo vizuri

    Jibu

    Duh habar njema kwa wachezaj wa SIMBA Wana wamsimbaziii

    Jibu

    Motisha lzm watauana uwanjani

    Jibu

    Wakat ni wao

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.