Mijatovic - Ramos Lazima Amalize Soka Akiwa Madrid.

Mkataba wa Ramos utamalizika mwisho wa msimu 2020-21,kwa kipindi hicho Ramos atakuwa amefikisha umri wa miaka 35.

Walakini,Mijatovic hajamzuia Mhispania huyo kubakia katika klabu bali itakua ni vyema kama ataendelea kubaki katika klabu ya Madrid inaweza kumpa nafasi ya kufundisha kizazi cha baadaye akiwa hapo Los Blancos.

“Hatuwezi kuvumilia kuacha wachezaji wetu kwenda kusaidia timu nyingine, kwasababu wanatakiwa wawe wa kwetu,”Mshambuliaji huyo wa zamani wa Real Madrid aliiambia Stats Perform New.”Ningependa hii sera tuirudishe kwenye klabu yetu.

“Kwa bahati mbaya hili jambo halipo katika klabu ya Real madrid.Raul ana historia kubwa Real Madrid na aliondoka katika mazingira mabaya, Fernando Hierro yeye pia hivyo hivyo, Casillas pia.

“Sasa wanazungumzia  kuhusu Sergio Ramos kufanya kitu kile kile.Mkataba wake unatakiwa kuongezwa , miaka mili au mitatu, haijalishi. lakini huyu mtu anatakiwa kumaliza Soka lake akiwa na Real Madrid.

Madrid pia walimuacha Christiano Ronaldo kuondoka Bernabeu kwenda Juventus 2018, pia watamuacha Luka Modric anayetimiza miaka 35 mwezi Septemba.

Wachezaji wote walikua na mchango mkubwa katika kupata ubingwa wa Champion League mara tatu mfululizo wakati Zinedine Zidane alipo pewa timu kwa mara ya kwanza.

“Kama ninge kuwa katika klabu nisinge ruhusu wachezaji kama Christiano Ronaldo,Sergio Ramos na Luka Modric kuondoka katika klabu” Mijatovic aliendelea.

“Hao ni wachezaji ambao wanaweza kuwa na matokeo chanya kwa vijana watakao kuwa wanachipukia.

 

54 Komentara

    Sawaa Kwa umri wake na mafanikio aliyopata amalizie t pale mpila wake

    Jibu

    Lazima amalozie Madrid amna pengine

    Jibu

    Yupo vizur sana

    Jibu

    Itakuwa vinzuri kama Ramos atakubali kumalizia hapo mpaka kustafu kwake itakuwa powa sana no wachezaji wachache ambao timu zao hupenda wabakie katika soka lao

    Jibu

    Ukiangali lomos ni beki mzuri pia ni mshambuliaji tokea hajiunge na Madrid tumeona mchango wake mkubwa sana

    Jibu

    Mijayovic yupo sawa kabisa

    Jibu

    N kwel kabisa na ukiangalia ramos n beki mzur pia n mshambuliaji na tokea ajiunge na Madrid tunaona mchango wake mkubwa sana mijatovic anachokizungumza kikosahihi kabisa kwa beki hiyu kwan tunaweza kumuita beki kisiki ambaye sirahis kumpita akuachie kuingiza nyavu na ameonyesha mapenzi na timu yake hivyo anauwezo wa kubaki las Blanco’s kuendelea kufundisha

    Jibu

    Full back kisiki

    Jibu

    Ramos fundiiiii wa mpra

    Jibu

    Ramos Madrid ameifanyia Mambo mazuri naye ameifanyia Mambo mengi mazuri .ni lazima amalizie mpira wake pale

    Jibu

    Itakuwa vizuri sana kama Ramos atakubali kumaliza hapo hadi kustafu kwake#meridianbettz

    Jibu

    Mawazo yake ni mazuri

    Jibu

    Ni litakua jambo zur pia sabab ameitumikia kwa moyo mmoja kwa wachezaj ramos ndio.mwenye Madrid yake pia itakua furaha sana siku atakayo staafu akiwa.Madrid na mamillion ya watu wakimuaga kwa heshima

    Jibu

    Naona atakuwa fundisho la vijana wengine watakao kuwa tayari kufundishwa na yeye watakuwa wachezaji wazuri mno

    Jibu

    Hilo litakuwa fundisho

    Jibu

    Itakua jambo nzuri ametumikia kwa moyo mmoja

    Jibu

    Ni kweli amalizie hapo

    Jibu

    hilo halina ubishi Madrid hawako tayar kumruhusu japo ana umri mkubwa

    Jibu

    Litakuwa ni jambo nzur kwa Ramos kustaafu mpira akiwa hapo

    Jibu

    Bila shaka atastaafu akiwa Madrid na uenda sanamu lake likawepo pale Santiago

    Jibu

    Yupo vizuri sana

    Jibu

    Ramos yuko vizur tu

    Jibu

    Ramos yupo vizuri sio mbaya kama atastaafu akiwa madrid

    Jibu

    Ramos yuko vizuri hana tamaa km wengine

    Jibu

    tokea hajiunge na Madrid tumeona mchango wake mkubwa sana kwenye timu na kujituma haswa

    Jibu

    Ramosi ana miyeyusho fulani ivi sema namkubali sana

    Jibu

    Yupo sahii Ramosi

    Jibu

    Kama anafanya vizuri amalizie hapo itakuwa poa sana.

    Jibu

    Yupo vizur

    Jibu

    Hayo ni mawazo yake mwenyewe kaamua kumalizia soka lake hapo

    Jibu

    Taarifa nzuri hii borawalipoamua kumuacha aendelee#meridianbett

    Jibu

    Ramos malizana Kwanza na Madrid.ndo uendelee na mambo yako

    Jibu

    Ni wazo zuri kumalizia umri wake hapo mpaka atakapo staafu

    Jibu

    Ramos ni kweli atamaliza akiwa madrid kwani timu yake inamuitaji sana

    Jibu

    Yaan huyu mshikaji Ramos ni jembe

    Jibu

    Ramos unaondoka madrid kwenda wapi Tena Baki tu apo apo

    Jibu

    Maamuzi sahihi#meridianbettz

    Jibu

    Mtu mbaya

    Jibu

    Real Madrid ni Club ya wanachama hivyo anayetakiwa kupata nafasi ni mwanachama mwenzao#meridianbettz

    Jibu

    Ramos beki hodAri! Nenda katafute changamoto nyingine #meridianbettz

    Jibu

    Ninakubali mtazamo wake ni kweli Ramos atamaliza career yake akiwa clubuni hapo

    Jibu

    Itakuwa vyema km watamuongezea mkataba.

    Jibu

    Club ya wanachama hivyo anayetakiwa kupata nafasi ni mwanachama mwenzao#meridianbettz

    Jibu

    Hakika Ramos yuko sahihi kwani kaitumikia vema kilabu yake

    Jibu

    Ramos yuko poa sana

    Jibu

    Maoni:Mijatovic anasema kweli kabisa

    Jibu

    kabisa yupo sawa

    Jibu

    Itakuwa Bonge la heshima kwa Ramos

    Jibu

    Mijatovic Ameongea point sana #Meridianbettz

    Jibu

    Yupo vizur

    Jibu

    Ni kwel kabisaa

    Jibu

    Uamuzi mzuri

    Jibu

    Yupo vizuri

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.