Pierre-Emile Hojbjerg Kusajiwa na Tottenham Majira ya Joto

Tottenham wamepanga kumsajili Pierre-Emile Hojbjerg kutoka Southampton kwa £20m tu msimu huu wa joto, kulingana na ripoti nchini Denmark. Hojbjerg amecheza mechi zaidi ya 100 za PL Kwa Southampton.

Pierre-Emile Hojbjerg  alizaliwa tarehe 5 Agost mwaka 1995 ni mwana soka wa Denmark ambae anacheza kama kiungo katika klabu ya Southampton inayo shiriki ligi kuu ncini Uingereza.

Alicheza kama kijana kwenye timu za vijana za Bk skjold, Fc Copenhagen na Brondby If kabla ya kujiunga na klabu ya Bayern Munich ya Ujerumani mwaka 2012.

Akiwa Bayern amecheza mechi 25 na alishinda makombe mbali mbali ya Ujerumani na kimataifa akiwa na Bayern na baadhi ya timu alizocheza kwa mkopo kama FC Augsburg na Schalke 04, Mwaka 2016 alisaini kandarasi ya miaka mitano kuihudumia Southampton kwa ada ya milioni 12.8 milioni.

Inaripotiwa kuwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 ni ‘yupo mbioni’ kujiunga na klabu hiyo ya kaskazini mwa London baada ya kufichua hamu yake ya kujiunga na klabu yenye uwezo wa kufuzu Ligi ya Mabingwa.

Lakini Watakatifu wanataka kitita cha pauni 35m kwa kiungo huyo, ambaye amenyang’anywa unahodha, lakini Spurs wana matumaini ya kuhitimisha mpango kwa bei nafuu kwa Hojbjerg, ambaye atakuwa akimaliza mkataba wake huko St. Mary’s mnamo 2021.

56 Komentara

    Mchezaj mzur sana atawasaidia wakimpata

    Jibu

    Msajilini tuu kwani umri wake unaruhusu

    Jibu

    Atasaidia pia akiwa na akina keane watafanya vizuri

    Jibu

    Southampton team ya wapiga hela za kuuza wachezaji

    Jibu

    Iko poa sanaa na mchizi yupo poa

    Jibu

    Itakuwa vizuri mana wapo ambao mpaka hasaivi bado hajajua yuko wapi

    Jibu

    Utakuwah vzr sana jamaaa fundi sana

    Jibu

    Iko poa sana

    Jibu

    Ni vizuri kuongeza nguvu kwenye kikosi mapema maana msimu huu umekuwa mrefu sanaa

    Jibu

    Good

    Jibu

    Namjua morinho anataka watu wa kazi maana hapend chipukiz ukisajiliwa na morinho hali ya kua ni kinda ujue una bahat siku zote yeye ana dili na wagumu anapenda sana wachezaj wenye maguvu mengi

    Jibu

    Morinho yupo vzr hapendi ubabaifu

    Jibu

    Iko poa

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    mou kupenda watu wagumu wagumu khaa

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Itakuwa poa sana maana jamaa anajua sana#meridianbettz

    Jibu

    Mchezaji kinda anaenda kuongeza nguvu spurs naamini msimu ujao kikosi cha spurs kitakua bora zaid

    Jibu

    Imeekaa poa

    Jibu

    Tottenham wanajipanga upasavyo na ligi msimu wa pili

    Jibu

    Atakuwa vizuri sana jamaha nifundi wa mpira sana

    Jibu

    habari njema kwa mashabiki wa suprs

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Pierre Yuko vizur asajiliwe tuu kwa maana bado ana umri wa kazi

    Jibu

    Yupo vizuri ni mchezaji mzuri#meridianbett

    Jibu

    Wamsajili tu maana bado anafanya maajabu klabuni kwao.

    Jibu

    Aya tusubiri baridi liishe.muendeleze mambo yenu

    Jibu

    Yupo vizuri wakimsajili itakuwa poa bado umri wake mdogo

    Jibu

    Jamaa makini Sana ⛹️ itapendeza wakimsajili

    Jibu

    Pierre yupo vizuri wamsajili tu

    Jibu

    Pierre fundii

    Jibu

    Iko poa

    Jibu

    Mchezaji mzuri awapo uwanjan

    Jibu

    Itapendeza Sana wakimsajili uyu kiungo

    Jibu

    Hiki ndo tulichokua tunakisubir

    Jibu

    Bonge la kiungo.#.meridianbettz

    Jibu

    Wakati fulani si rahisi kumuelewa Kocha unamuuza jembe Wanyama unamununua Piere Emile kucheza nafasi zinazofanana! Tusubiri kuona kama kamari yao italipa#meridianbettz

    Jibu

    Morinho nikocha mwenye mbinu za pekee Mara nyingi anaamini wachezaji anaowataka yeye ndio watakao mletea mafanikio sio wa kuwakuta kwenye timu ngoja tuone kaona Nini kwa pierre

    Jibu

    Yuko bomba.

    Jibu

    unamununua Piere Emile kucheza nafasi zinazofanana! Tusubiri kuona kama kamari yao italipa#meridianbettz

    Jibu

    Bora wamsajili kwani jamaa bado yuko vizuri

    Jibu

    Good

    Jibu

    Habari kabambeee hii

    Jibu

    Ni habar nzur

    Jibu

    Maoni:jamaa fundiii

    Jibu

    ni sawa tu

    Jibu

    Naona Mourinho nae anataka kuimarisha kikosi chake amekuwa kocha mwenye Lusaka mafanikio katika kila club atakayofundisha

    Jibu

    Ni kipindi cha usajili kwa kwenda mbele#Meridianbettz

    Jibu

    Msajilini tu.yuko vizur Sana

    Jibu

    Jamaa anajuua itakua poa wakimsajili

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Good

    Jibu

    Totenham inabid wafanye usajili sana maan kama wamepotea akiumia kane timu inakuwa mbovu

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.