Mzee Manara: Huyu Mayele Anajua Atawasumbua Sana

GWIJI wa soka la Tanzania, Yanga SC na Taifa Stars Sunday Manara ‘Computer’ alisema wazi kuwa straika wa Yanga, Fiston Mayele ni mchezaji hatari mwenye kila kitu ambacho mshambuliaji anatakiwa kuwa navyo.

Mzee Manara: Huyu Mayele Anajua Atawasumbua Sana

Sunday, ambaye ni Baba mzazi wa msemaji wa Yanga aliyefungiwa na TFF Haji Manara, alisema Fiston atawasumbua sana kwenye mpira wa Tanzania, na hata Afrika kwa sababu ana spidi, jicho la goli na uwezo wa kucheza kwenye mazingira ya aina yoyote.

Mzee Manara: Huyu Mayele Anajua Atawasumbua Sana

Mzee Sunday alisema: “Mayele siyo mchezaji wa kawaida, ni mshambualiaji mwenye ‘quality’ mtu ambaye anaweza kukimbia na mpira, mchezaji mwenye jicho analitazama goli kabla hajafunga.

“Naona akiwasumbua sana msimu huu hapa nyumbani na hata kwa Afrika, namuona akiendelea kufunga sana kwenye mashindano yote ambayo watashiriki msimu huu.”

 

Mzee Manara: Huyu Mayele Anajua Atawasumbua Sana

Mayele alifunga mabao matatu kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika ambao Yanga wamecheza na Zalan FC wikiendi iliyopita na watu wengi wanatarajia kuona Mayele akiendeleza moto wa kufunga.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.