Slot: Huu ni mchezo mpya na wa kisasa zaidi wa kasino, ambao unakupa uhuru wa kucheza ukiwa na kiwango kidogo cha pesa.
Unaweza kuweka kuanzia shilingi elfu moja kwa keshia na kisha atakupa Credit zenye thamani ya pesa zake, kwa mfano ukiweka 1000 Unapata 100 Credit, na kupitia mashine kwa kmila mchezo unaweza kucheza kuanzia Credit moja na kuendelea.
Vile vile Mashine za Slot zinamachaguo ya kuongeza Credit ukiwa unaendelea kucheza na pindi ukishinda kama hutaki kutoa pesa zako una chaguo la kuongeza ushindi kwa kubonyeza kitufe cha Gamble au Double.
Leo nataka kukusanua kuhusu mchezo mmoja rahisi kweli kucheza na kushinda, unaitwa Sizzling Hot yani mchezo wa matunda.
Kwenye mchezo huu ni rahisi kuchezo unachotakiwa kufanya ni kuangalia tu aina za matunda zitakazotokea kwenye kioo, na kila tunda linakuwa na thamani yake, unaweza kushinda mpaka milioni 10 inategemea na michezo uliyocheza.
Lakini kadri unavyoendelea kucheza ndio unazidi kujiongea nafasi ya kushinda bonasi kubwa ya Diamond, Platinum, Gold au Silver na kubwa zaidi kuna michezo ya bure unaweza pia kucheza.
Wakati mwingine nitakuja kukueleza zaidi kuhusu The money Game.