Meridianbet inakuja na ofa ya kibabe kabisa kwa wewe unaebashiri michezo mbalimbali kwenye kampuni ya Meridianbet unaweza kua mnufaika mkubwa ofa hii ya kibabe kabisa.
Live In Play Boosted Odds
Meridianbet wanakupa ofa ya ongezeko la odds katika mechi zinazoendelea kwenye ligi mbalimbali kuanzia hapa nyumbani, ligi kubwa zote barani ulaya na dunia nzima Meridianbet wanakupa ofa hiyo wakati mchezo unaendelea basi unaweza kubashiri wakati odds zikiongezeka maradufu.

Namna ya kutambua michezo iliyoongezwa odds kwenye Meridianbet michezo hiyo itawekewa alama B nyekundu basi hapo ndipo wewe unaebashiri kupitia Meridianbet utaweza kuweka mpunga wako ili kuweza kujishisndia zaidi na zaidi kutokana na odds zilizoongezwa.

Meridianbet itakuongezea odds wewe unaebashiri na sisi kwenye dakika hizi 20,40,60, na 80 huku nyongeza ya Odds ikiwa ni kwa dakika moja pekee.Angalizo kama tukio kubwa litatokea wakati wa Ongezeko la odds mechi itahairishwa na nyongeza haitopatikana.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa