Makala nyingine

Kuna ambae hapendi ule mchezo wa kizamani wa kumaliza mpira kwa Masumbwi na vurugu za kusukumana? mtindo huu umekua unafurahiwa hata na wachezaji wenyewe wanapokutana uwanjani, na wengi hua hawezi …

Chelsea wamedhamiria kuongeza nguvu zao kwa Beki wa Klabu ya Leicester City, Ben Chilwell baada ya kumkosa Alex Telles kutoka FC Porto ambaye alikuwa ndio target yao namba moja. The …

Mnamo tarehe 24 mwezi February mwaka 1977 katika jiji la Michigan nchini Marekani alizaliwa Floyd Joy Mayweather bingwa wa dunia wa mkanda wa uzito wa kati na mwanamichezo Tajiri zaidi …

Tetesi za Usajili

Winga wa Manchester City Leroy Sane, 24, yupo karibu kutua Bayern Munich kwa dau £70m. Vilabu vya Premier League vitakutana Ijumaa kujadili kama msimu utamalizika kabla ya Juni 30. Kama …

Wajumbe sita wa bodi ya Barcelona wamejiuzulun akumwambia Raisi Josep Maria Bartomeu hawana furaha kwa nmna klabu inavyoendeshwa. Kwenye barua ya pamoja, wajumbe wote sita wameongelea kuhusu kuporomoka kwa hali …

Msimu Ligi Kuu ya Uingereza utaendelea pale tu, kila mchezaji atakapopimwa virusi vya Corona,” amesema Mtendaji Mkuu wa Chama cha Makocha kwenye Ligi(LMA) Richard Bevan. Kutokana na mlipuko wa virusi …

Odion Ighalo amekiri kuwa “hajapokea ofa yoyote mezani” kutoka Manchester United juu ya kusalia klabuni hapo baada ya muda wake wa mkopo kuisha. Mshambuliaji wa Nigeria ameanza vizuri maisha yake …

Mchezaji ambaye msimu uliopita alikuwa ndani ya klabu ya Manchester United na kuonekana uwezo wake umeshuka ikiwa ni tofauti na vile ilivyokuwa awali kwake alipokuwa katika klabu ya Everton, Lukaku …

Wachezaji wa Ligi kuu England (EPL), wamegoma kukatwa mishahara yao katika kipindi hiki, licha ya kuelezwa kwamba klabu zao zitapata hasara ya pauni bilioni 1.137 kutokana janga la virusi vya …

Msimu huu wapa! Wazee wa mikeka wameshaandaa kalamu na karatasi kwa ajili ya kuandika hesabu za pesa zao, tunaanzia hapa; Liverpool V Norwich City. Liverpool wanatarajia kufanya vyema zaidi ya …

Nyota wa PSG, Kylian Mbappe ambaye aliwagharimu dau la paundi milioni 180 kwenye uhamisho ameweka wazi kuwa hatarajii kusaini mkataba mpya klabuni hapo. Wakati tetesi za usajili zikipamba moto, haikudhaniwa …

Wayne Rooney ameibuka na kuwachana klabu ya Manchester United kuwa wasipagawe na kukimbilia kusajili wachezaji wenye majina makubwa ambo umri wao umeshaenda kama Cristiano Ronaldo au Gareth Bale akihofia kuwa …

Nyota wa Atletico, Diego Costa amelimwa adhabu ya kukosa gemu 8 baada ya kupata kadi kwenye gemu dhidi ya Barcelona wikiendi iliyopita. Costa alitolewa nje ya gemu kipindi cha kwanza …

Ilikuwa kama stori lakini imegeuka na kuwa historia sasa. Man United wamemkabidhi mikoba ya kudumu kocha wao aliyekuwa anaiongoza klabu hiyo kwa muda, Ole Gunnar Solskjaer baada ya kipindi kirefu …

1 2 3 108 109 110 111 112