Pogba Amehusishwa Mazungumzo ya Raniola na Madrid?

Hatma ya nyyota wa Manchester United Paul Pogba imeendelea kuwa na kizungu mkuti akiendelea kuhusishwa zaidi na kuondoka klabuni United. Je wakala wake Mino Raniola alimuhusisha kwenye mazungumzo yake na Real Madrid?

Alhamisi, wakala wa staa huyu wa Manchester United Mino Raniola alisafiri kuelekea Hispania na kufanya mazungumzo na raisi wa klabu hiyo baada ya kukamilisha mazungumzo na klabu ya Barcelona.

Raniola anaminika kuwa alikuwa na mazungumzo na Barcelona juu ya Erling Braut Haaland , kisha akashuka mji mkuu wa Hispania kufanya mazungumzo na Real juu ya Pogba.

Paul Pogba

Pogba anaenddelea kuhusishwa na vilabu kadhaa, lakini kwa mujibu wa Calciomercato nyota huyu alitajwa katika maongezi ya Raniola na Florentino Perez, na Madrid wako tayari kushikilia bango suala la uhamisho wake.

Mkataba wa nyota huyu mwenye miaka 28 wa Ufaransa unaisha mwishoni mwa msimu ujao wa joto, na mpaka sasa amefunga magoli matano na kutoa asisti 30 kwa msimu mzima wa 2020-21 chini ya Ole Gunnar Solskjaer.


 

UNAWEZAJE KUKOSA KASINO YA BREAK AWAY LUCKY WILDS INAYOKUPA NAFASI YA USHINDI MURUA.

Break Away Lucky Wilds ni moja ya Sloti pendwa katika kasino za #meridianbet inayokupa mara 11,000X ya dau lako, unayo nafasi ya kuwa milionea unasubiri nini?

CHEZA HAPA

5 Komentara

    Pogba minyotaa

    Jibu

    Hii ni bonge la makala

    Jibu

    Makala nzuri

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Aende tu anapotaka Man U hatutaki presha

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.