Rosenior Aeleza Sababu ya Mkusanyiko ‘Huddle’ ya Chelsea Kabla ya Mechi

Kocha wa Chelsea, Liam Rosenior, amesema kuwa kitendo cha wachezaji wake kukusanyika katikati ya uwanja kabla ya kuanza mechi hakilengi kuwachokoza wapinzani, bali kuonyesha umoja ndani ya timu.

Rosenior Aeleza Sababu ya Mkusanyiko ‘Huddle’ ya Chelsea Kabla ya MechiKauli hiyo imekuja kufuatia tukio la kushangaza lililotokea kabla ya mchezo wao dhidi ya Newcastle United ambapo mwamuzi Paul Tierney alijikuta katikati ya mkusanyiko huo wa wachezaji muda mfupi kabla ya kuanza kwa mchezo.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa  

Baadhi ya wachambuzi wamekosoa tabia hiyo wakidai kuwa ni ukosefu wa heshima kwa wapinzani, lakini Rosenior amesisitiza kuwa lengo kuu ni kujenga mshikamano wa timu na si kuleta taharuki au presha kwa wapinzani wao.

Rosenior Aeleza Sababu ya Mkusanyiko ‘Huddle’ ya Chelsea Kabla ya MechiHata hivyo, kocha huyo hakuthibitisha kama wataendelea na utaratibu huo katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Paris Saint-Germain, akisema wataamua kabla ya mechi hiyo muhimu.

Rosenior Aeleza Sababu ya Mkusanyiko ‘Huddle’ ya Chelsea Kabla ya MechiAidha, Rosenior amethibitisha kuwa nahodha Reece James atakosekana kwa muda kutokana na jeraha la misuli ya paja, huku beki Malo Gusto naye akiwa katika hatihati ya kukosa mchezo huo, wakati Chelsea wakijaribu kupindua matokeo ya mabao 5-2 dhidi ya PSG.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.