Bosi wa Barcelona Quique Setien amekuwa na tumaini la kushinda taji la LaLiga huku akiamini Real Madrid watapoteza alama kwenye michezo iliyo salia.
Licha ya kuwa wanaongoza kwenye msimamo wa ligi ya LaLiga kabla ya msimu kusimama kwa lazima kufuatia janga la Corona, Barcelona wamepoteza alama sita kwenye michezo waliyo cheza tangu kurejea kwa ligi hiyo, na kufanya wekae nyuma ya Real Madrid kwa tofauti ya pointi nne.
Lakini Timu ya Real Madrid inayonolewa na mwalimu Zinedine Zidane wamekuwa wakishinda michezo yote tangu kurudi kwa LaLiga.Lakini Setien ameonekana akipuuzia kukubali kushindwa na akiamini Madrid watapoteza alisema siku ya Jumanne.

“Ni kweli tunaweza kushinda LaLiga, Mahesabu yanaonesha hivyo. Tunatakiwa tuwe na tumaini mpaka siku ya mwisho.
“Tunapaswa kuangalia tunaweza kufanya nini ili tushinde, tuwe na hisia nzuri tusikate tamaa na tumalize msimu wa LaLiga tukiwa katika mazingira mazuri ya kuanza msimu mwingine.”
Barcelona wanaendelea na vita ya kutwa LaLiga mpaka siku ya mwisho, ingawa wana nafasi ndogo ya kutwa taji kutokana na alama walizo achwa na Madrid.
Bado wapo kunako Ligi ya Mabingwa Ulaya itakayo endelea mwezi Agosti, kisha kuanza msimu mwingine wa LaLiga.
Kama Barcelona watapata ushindi kwenye mchezo wa debi dhidi ya Espanyol siku ya Jumatano italeta rumaini kama Madrid wakipoteza mchezo unaofuata.
Raisi wa Klabu Josep Maria Bartomeu ana mpango wa kumbakisha Setien mpaka msimu wa 2020-2021.


Franky
Good news#meridianbet
Sabrina
Maoni:Hii habari njema
Furahav
Itakuwa vizuri
Edgar
Nikwel kuishi na matumaini ndo kupambana kwenyewe lakn daaah sio kwa Real Madrid.. Na ukiangalia uhasama na jinsi hizo timu mbili zikikutana uwanja huwa wanakamiana sana, na ndomana naiman Barcelona hawezi chukua ubingwa laliga coz hata Madrid ambaye yupo mbele kwa point nne mbele ya barca hato kubali kupoteza mechi zilizo salia na kumuachia ubingwa Barcelona..
Samiah
Safi
Issa
Safi sana
Njiku
Adui muombee njaa hiyo
Shafii
Ni jambo la kufikirika kama itatokea ni jambo lisilo tarajiwa kwa wana Madrid ila katika Mpira lolote linawezekana.
Hamidu
Pale laliga ..real Madrid ndo bingwa wao
Mechi zilizosalia anashinda zote
Gabriel
Kocha mzur sana
Omary lukumbi
Hilo bosi wa Barcelona atakua anajidanganya Madrid washamuona mwali huyu hapa hawamuachi mtu yeye aendelee tuu na ndoto zake za mchana
Hope mwaikuka
Hongera kwake
Frank Patrick
Hesabu zake hizo kwa Madrid asahau
Amiri Kayera
Yaani apo ilipofikia ni kuombean mabaya tu
Neema juma
Mtu kujiamini bhana
Latifa juma mohamed
Mtu kujihakikishi
Rehema
Ni kocha mzuri sana
Genia Sikaluzwe
Mtu kujiamini
Amani
Barcelona hawezi chukua ubingwa laliga coz hata Madrid ambaye yupo mbele kwa point nne mbele ya barca hato kubali kupoteza mechi zilizo salia na kumuachia ubingwa Barcelona.# meridianbettz
Fatuma kasomo
Hongera kwake
Caroline
Kazeni buti
warda
Wanaweza kupata Wajitahidi tu#Meridianbettz
Mwanahamisi
Kocha mzuri sana
Adelta
Itakuwa vizuri
Asia Abdy
Safi sana
Ester jackson
Real Madrid hawaweza kuiachia Barcelona ubigwa kirahisi
Fatina mfingi
Hii nzur!
felister
wataweza kweli…?
Magdalena
Habari imetulia sana
Dorophina
Ni mawazo yake sio mabaya km ataweza kupambana na real Madrid wakamuachia atakuwa amefanikiwa kiasi kikubwa
David Pere
Bado yupo nao mbali Sana hii ubingwa ,kwa Madrid sawa maana mwendo wa wao spid 180 Yani hawakamatiki kabisaaa
Angelina
Kujiamini ni jambo zuri wataweza kushinda
Tatu
Safi sana
isha
Hongera sana
Zuhura omary kindamba
Asante Meridianbet kwa taarifa njema
Samira
Mashabiki wa barcelona tutafurahi kama tutaupata ubingwa msimu huu
Evaluziga
Good news
Salma
Wapamabane
Khadija
Yaan hapo ilipofikia ni kuombeana mabaya#meridianbettz
Saupha mohamed
Safii
Flomena
Barcelona wanaendelea na vita ya kutwa LaLiga mpaka siku ya mwisho, ingawa wana nafasi ndogo ya kutwa taji kutokana na alama walizo achwa na Madrid.#meridianbettz
silvatira
madrid ni bingwa haina jinsi
devotha
ukiwa mshindani hautakiwi kukata tamaa, Barcelona lazima achukue ubingwa wa laliga msimu huu
Isaya massawe
Atangoja sana
Lydia Emmanuel Magoti
Duu unajipa moyo wakipambana wataweza
Ernest
Hii tunasema Dua la kuku alimpati mwewe
Zeiyana
Ni jambo zuri Sana