Kikosi cha Yanga kimewasili jana Mei 26, kutoka mkoani Shinyanga na moja kwa moja kocha mkuu wa Yanga, Nassredine Nabi amewapa mapumziko wachezaji wake.

Yanga imewasili huku wakiwa na uhakika wa kucheza nusu fainali ya kombe la Shirikisho Azam baada ya kuifunga Mwadui 2-0.

Yanga - TalkingKocha mkuu wa Yanga, Nassredine Nabi amesema baada ya ushindi huo na kutokuwa na mchezo wowote hivi karibuni ameona ni bora awape mapumziko ya muda mfupi wachezaji wake.

yanga-sc-Nimewapumzisha wachezaji wangu baada ya kutoka katika mechi ngumu, tumeshinda na tutarejea kambini siku sio nyingi kwa ajili ya kuendelea na programu zangu.

Habari tulizonazo timu hiyo itakuwa na mchezo wa kirafiki kwa lengo la kuiweka timu hiyo katika utayari wa mechi zao zijazo.


BONASI YA 50% KILA SIKU KATIKA KASINO ZA EVOPLAY HAPA MERIDIANBET.

Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.

tuchel, Tuchel :Tuna Bahati Tottenham Wametusaidia Kazi., Meridianbet

SOMA ZAIDI

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa