Milan Skriniar - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Mbappe: Usaliti Kumuondoa Psg

Daily News

Uhusiano wa Kylian Mbappe na PSG umefikia ukingoni, kulingana na ripoti kutoka Ufaransa, kwa sababu anahisi kuwa amesalitiwa na klabu hiyo baada ya kuafiki mkataba mpya msimu huu. Mshindi huyo …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, Juventus wana uhakika mkubwa ya kumsajili Paul Pogba, 29 bure kutoka Manchester United. Kiungo huyo mfaransa amekubali kusaini mkataba wa miaka minne. Kiungo wa Denmark Christian Eriksen, …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema Arsenal wanamtaka mshambuliaji wa Real Madrid Isco, 28, katika dirisha la uhamisho la mwezi Januari litakapofunguliwa. Kiungo wa kati wa Uholanzi Georginio Wijnaldum, 30, ataamua wiki hii …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema Inter Milan watajiandaa kumuuza mlinzi Mslovakia Milan Skriniar, 25, kwa Tottenham kwa pauni milioni 45 mwezi ujao. Tetesi zinasema Mlinzi wa kati wa Uholanzi Perr Schuurs, 21, aliyehusishwa …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema Manchester United, na Chelsea zinamfuatilia kwa karibu mlinzi wa Brighton Muingereza Ben White, 23 mwenye thamani ya juu. Barcelona wanafuatilia kwa karibu upatikanaji wa beki wa nyuma wa …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema kiungo wa kati wa Arsenal Matteo Guendouzi, 21, anatarajiwa kuelekea katika timu ya ligi ya Bundesliga Hertha Berlin, baada ya kuwachwa nje ya kikosi cha timu hiyo katika …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema Bayern Munich inafanya mazungumzo na Chelsea kuhusu kumchukua winga wa England Callum Hudson-Odoi kwa mkopo. Lakini Chelsea imekataa dili hilo lililokuwa na kipengele cha kumnunua kwa pauni milioni …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema Kocha wa Chelsea Frank Lampard anahitaji klabu hiyo kujaribu kufanya usajili wa kiungo mkabaji wa West Ham United Declan Rice 21 ingawa hakuna dau lililotumwa. Usajili wa kiungo …

1 2 3