Harry Kane - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Bekham: Hakuna Kama Messi!

Champions League

Umeshakuwepo kwenye ubishani wa nani ni bora zaidi kati ya nyota wa Barcelona Lionel Mess na nyota wa Juventus Cristiano Ronaldo? Wewe huwa unakuwa uopande upi? legendari Daviid Beckham amesema …

Tetesi za Usajili

Champions League

Mwenyekiti wa Tottenham, Daniel Levy atamruhusu straika wa Uingereza Harry Kane 26 kwenye Manchester United kwa dau la £200m ili kupata haueni kiuchumi. Manchester City wapo tayari kuipiku Chelsea, Real …

EPL; Wachezaji Wakubali Kuchangia NHS.

Daily News

Wachezaji wa Ligi Kuu ya Uingereza wameanzisha changizo kwaajili ya NHS inayoitwa #PlayersTogether kwaajili ya kupambana na virusi vya Corona. Nahodha wa Liverpool, Jordan Henderson, Tottenham na Uingereza Harry Kane …

Wachezaji Wanaotengeneza Pesa Ndefu

Champions League

Kutokana na utafiti uliofanywa hivi karibuni, zimetoka takwimu mpya za wachezaji wanaolamba hela nyingi kwenye klabu wanazochezea. Hii inatokana na mishahara yao wanayolipwa na gharama zao za kuuziana kuwa juu …

Hekaya za Soka: Mpaka Rangi

Champions League

Dunia inaenda kasi, tena kasi kweli kweli. Mambo yanabadilika kila kukicha katika jamii, kuanzia hali ya mtu mmoja mmoja na tawala na falme mbalimbali. Ila katika soka mambo yanakwenda kasi …

Waingereza Ghali kwa Sasa

Champions League

Kwa mara ya kwanza kulinganisha na kitambo kidogo inaonekana kuna mwanga kidogo katika soka kwa taifa la Uingereza. Kwa wakati uliopo wamekuwa wakifanya vizuri kitu ambacho kibaweza kuwafanya kurejea kwenye …

Magoli 100 ya Haraka PL

Daily News

Ligi kuu ya Uingereza imeshuhudia wachezaji wengi wakiweka historia ya kutikisa nyavu mara 100 wakiwa katika umri mdogo kabisa. Kama ilivyo ada kufikisha idadi hiyo ya magoli ni ndoto ya …

Mourinho Kaanza Vyema Tottenham!

Football

Kama ilivyokuwa kwa mpokezi wake pale Man United bwana Solskjaer, sasa ni zamu yake Mourinho ndani ya Spurs! Mourinho ameanza vyema baada ya kikosi anachokisimamia cha ToTtenham Hotspurs kuibuka na …

Fununu za Soka Barani Ulaya

Champions League

Tottenham wamerejea upya pale walipoishia msimu uliopita juu ya nia yao ya kumhitaji nyota wa klabu ya Sporting CP, Bruno Fernandes ambaye pia amekuwa akiviziwa na klabu ya Manchester United …

Fununu za Soka Barani Ulaya

Champions League

Huenda klabu ya Bayern Munich ikaingilia biashara ya klabu ya Real Madrid juu ya usajili wa nyota wa klabu ya Tottenham ili kujenga kikosi chao. Kikosi hicho cha Bayern kinaangazia …

Magoli 100 ya Haraka PL

Daily News

Ligi Kuu ya Uingereza imeshuhudia wachezaji wengi wakiweka historia ya kutikisa nyavu mara 100 wakiwa katika umri mdogo kabisa. Kama ilivyo ada kufikisha idadi hiyo ya magoli ni ndoto ya …

Waingereza Ghali kwa Sasa

Champions League

Kwa mara ya kwanza inaonekana kuna mwanga katika soka kwa taifa la Uingereza. Wamekuwa wakifanya vizuri kitu ambacho kinaweza kuwafanya kurejea kwenye aina ya soka ambalo kila mmoja atavutiwa nalo …

Ligi Kuu Uingereza 2019/20

Champions League

Msimu mpya wa ligi ya Uingereza ambayo ni ligi pendwa na inayofuatiliwa na wengi duniani kote utaanza kutimua vumbi mapema mwezi wa nane tarehe 9 lakini jicho la kila shabiki …

Kwanini Washinde Euro 2020?

Daily News

Baada ya kuanza vyema katika kampeni yao ya kufuzu kuelekea kwenye michuano ya Euro 2020 kwa kushinda mechi zao mbili; vijana wa Southgate wanapigiwa chapuo kuipeperusha bendera ya taifa la …

Watupwa Nje Copa America 2019

COPA America 2015

Mashindano ya Copa America yanatarajiwa kuanza kutimua vumbi huku kila timu ambayo inatarajia kushiriki ikiita nyota wake ambao walikuwa na msimu mzuri kwenye vilabu vyao. Brazil ni miongoni mwa timu …

Waliosahaulika EPL!

Champions League

Ligi Kuu ya Uingereza inaheshimika kwa kuwa na wachezaji wengi wenye uwezo wa kipekee sana na wanaotokea mataifa mbalimbali. Pia, inamiliki wachezaji ambao kwa upande mwingine wanaishia kusugua benchi katika …

Fununu za Usajili

Daily News

Kwa sasa ligi nyingi zipo kwenye hatua za mwisho kabisa kuhitimisha mizunguko yake katika ngazi zote za ndani ya ligi husika. Kukiwa katika hatua hiyo mara nyingi hupelekea klabu nyingi …

Wenye Thamani Kubwa PL

Daily News

Kila mchezaji huwa na nafasi kubwa ndani ya ligi yake na hata taifa kwa ujumla. Mengi anayoyafanya humkweza na kumfanya aonekane mwenye thamani na ushawishi mkubwa kisoka hata kwa wale …

Waingereza Ghali kwa Sasa

Daily News

Kwa mara ya kwanza kulinganisha na kitambo inaonekana kuna mwanga katika soka kwa taifa la Uingereza. Kwa sasa wamekuwa wakifanya vizuri kitu ambacho kinaweza kuwafanya kurejea kwenye aina ya soka …

1 2 3 20 21 22 23 24